Nianze kwa kutoa pongezi kwao IPP Media kwa kuwa na jicho la kipekee kabisa la kuona talanta mbalimbali kubwa kwenye utangazaji.
Kenedy alitoka East Africa redio na kwenda Clouds mwaka 2015 na...
Joseph Kusaga: ukiona redio yoyote ya vijana mimi nimo kwa namna moja ama nyingine, aitaja pia jembe ni jembe ya Mwanza.
Nadhani Joseph Kusaga amefunga mjadala wa kipumbavu.
MKURUGENZI Mtendaji...
Kiukweli huyu mtangazaji anaboa sana, na anavichekesho vinavyokera sana badala ya kuchekesha, kuna matangazo yake ya tigo clouds mara sijui mimi ni katibu wa harusi ya mwanao, mara bla bla bla...
Nimeona watu wameanza kumponda diamond kuhusu demu aliyekuwa naye sasa hivi eti wanasema ni mbaya sijajua kama ni mke au anasafisha tu rungu kama alivyofanya kwa wengine
Katika pitapita zangu leo...
Huyu mtanganzaji toka Fiesta imefika tamati sijamsikia redioni.
Hata wenzake hawamwongelei kama anaumwa au yuko likizo au kaachishwa kazi.
Au ndo anajiandaa kuibukia redio nyingine?
VOTE NOW! Who Should Win Miss World 2018?
Vote for miss world now, click in that link, it will show u the list of countries, scroll down to Uganda, touch in Tanzania then down click in the word...
Kuna msemo wa kinyiramba unasema Hard work pays, hii imethibitishwa na MD wa clouds fm kwa kutania na kusema Millard Ayo amempita boss wake mshahara kwa kumaanisha Millard ni.kati ya watangazaji...
Jamaa kiwango chake cha uchekeshaji anatakiwa apate makataba ata Hollywood.
Bongo apamfai uwezo wake nikama Chris Tucker .
Vipaji vipo Ila watu awataki kuwekeza Kwa uyu dogo . Tazama iki kipande
Sipo kwa ajili ya majungu Huyu mtu mm naweza kumfananisha na simba wa kweli wa mikumi au hifadhi yeyote ile maana jamaa yupo kimya ila mambo yake sio haba first kumiliki nyumba sio kama cha mange...
Mashabiki wa Ali Kiba tunajiuliza ni nani atakayejitolea amfuate Ali Kiba akamwambie ukweli? Ni nani aliyetayari? Tumtume nani akamwambie ukweli Ali Kiba?
Mashabiki wake tupo katika mtanziko juu...
Siku chache baada ya kukiri kuwa kwenye mahusiano msanii wa bongo fleva Ben Pol na binti tajiri was kikenya Anerlisa Muigai mtandao wa nchini Kenya uitwao Tuko.co.ke umeandika binti huyo...
Nimeskiliza wimbo mpya wa maua sama uitwao "iokote" aliomshirikisha hanstone ni mzuri sana ila kama anamuiga Nandy na Rubby itafika wakati tutashindwa kuwatofautisha halafu naye dogo hanstone...
Unamfahamu Anerlisa Muigai? Huyu ni binti wa Kikenya na CEO wa NERO company ni campany ya maji inayoongoza nchini Kenya.
Mama yake Thabita Karanja ni moja ya matajiri wanawake nchini Kenya, ni CEO...
Aman iwe juu yenu
Naomba wadau mtupatie link ya wasafi festival iringa ambao hatuna video nyumban sisi wengine tuko huku nyampande Sengelema
Asante sana
LONDON BOY
Bila kinyongo wala unafiki mwanetu anajua kutafuta pesa na kujituma,show tatu ndani ya siku tatu mfululizo 30 Nov Iringa,01 Dec Thika,Kenya,02 Dec Morogoro,hata kama tunakuchukia lakini Hongera...
Sijui lile sakata la kumdai vyeti tulianzishe upyaaaaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Hivi kweli msomi uliyekwenda shule na kuelimika unashindwa kuandika vizuri...
Kati ya nyimbo mbili auibu na hatufanani kutoka kwa nandy na shetta ipi ni ipi maana zote zimetumia beat moja kutoka kwa kimambo?
Nini tatizo au ndo kimamba kashindanisha?
Na kwa maoni yako upi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.