Nairobi - Mambo aliyozingua Diamond -Simba- Dangote

JF Member

JF-Expert Member
Dec 14, 2014
7,389
9,664
Kwanza pongezi kwa hatua muliofikia WASAFI - Mumeweza kutuweka live watu toka sehemu mbalimbali zikiwemo Norway, USA, CHINA, Austraria n,k.

Haya ndio mambo ambayo umezingua mdogo wangu yafanyie kazi utafika mbali.
1. Hukuweza kulitawala jukwaa vizuri kama msanii mkubwa afrika mashariki - Mashabiki walitegemea makubwa lakini uliwaangusha na kuwakata steam.
2. Sauti yako hukuiweka vizuri kabla hujaingia ulingoni. Pengine ulihitaji mtu wa sauti akukochi badala yake ulijiachia tu ukawa unaimba kwa mayoewe hata key ulikuwa huendi nayo.
3. Nyinbo zenge waimbaji Zaidi ya mmoja tafuta hata watu wa kuimba sehemu zinazotakiwa ili show iwe ya kikubwa . Mfano Wimbo wa Kama Karanga unasauti ya kike - Ungeweka hata mtoto wa kike akawa anapokea pale penye sauti ya kike. wengine huwa wanaweka watu kweny mice Nyuma karibu na wapiga gita (Sijui wanaitwaje)

4. Siku nyingine wachangamshe watu sio wao wakuchangamshe wewe. Kumbuka watu wametoa hela kuja kura burudani yako. Usiwalazimishe watu kukuchangamukia wakati wewe hujawachangasha. Siku nyingine uliza wenyeji wako aniza za nyimbo zako zinazopenda sehemu husika ili uwavute vizuri.
5. Watu walikuja show live kumbe wewe ukaweka CD sio vizuri - Hawajamaliza hela yao.

Ni hayo tu - Ningefika moja kwa moja kukushauri lakini sasa niko mbali kidogo.
 
Wewe naona km sio Jike basi mvaa Mask @ kura badala ya kula

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Unafanisha show za mbele na za ndani, show za mbele bajeti yake ni kubwa na kwa TZ, Diamond baadhi ya show huwaga anatembea na bendi ukiona hivyo bajeti haijatosha.

Ila upande wa ku synchronize kuimba na kucheza si Diamond anayepata Diamond anayepata tabu, nishaangalia show za Cris Brown na Jason Derulo nao huwaga wanachemka upande wa sauti na kuconcetrate sana kucheza, hapa duniani msanii anaweza kuimba na kucheza kwa wakati mmoja ni Beyonce pekee na kwa Africa Fally Ipupa na Mr Flavor.

Kuhusu kuweka sauti ya kike si lazima hata mbele Kuna wasanii wakubwa, huwa hawaweki sauti za kike, kwenye nyimbo zao walizo walizo washirikisha wanawake.

Ila Mondi anahitaji sana mazoezi ya pumzi sababu kuimba na kucheza unatakiwa uwe na upepo wa kutosha kwani mara nyingi anaanza vizuri mwanzo, ila akifika kati upepo unapungua au labda inawezekana ukawa uchovu sababu kwa siku sita amefanya show nne mfululizo sehemu tofauti.
 
kuna wajinga watasema eti umemshauli vizuri, kumbe ni utahira tu, kama iyo no.2 sijui umeandika uku ukiwa na stress ya kukimbiwa na mme
 
Ndo tunaamka sa Eeh emu rudia tena ulicho andika una semaje
GBWA-20181231233321.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kuna wajinga watasema eti umemshauli vizuri, kumbe ni utahira tu, kama iyo no.2 sijui umeandika uku ukiwa na stress ya kukimbiwa na mme
Hata wewe umeelewa nilichomshauri. Usinitafite ligi.
 
Unafanisha show za mbele na za ndani, show za mbele bajeti yake ni kubwa na kwa TZ, Diamond baadhi ya show huwaga anatembea na bendi ukiona hivyo bajeti haijatosha.

Ila upande wa ku synchronize kuimba na kucheza si Diamond anayepata Diamond anayepata tabu, nishaangalia show za Cris Brown na Jason Derulo nao huwaga wanachemka upande wa sauti na kuconcetrate sana kucheza, hapa duniani msanii anaweza kuimba na kucheza kwa wakati mmoja ni Beyonce pekee na kwa Africa Fally Ipupa na Mr Flavor.

Kuhusu kuweka sauti ya kike si lazima hata mbele Kuna wasanii wakubwa, huwa hawaweki sauti za kike, kwenye nyimbo zao walizo walizo washirikisha wanawake.

Ila Mondi anahitaji sana mazoezi ya pumzi sababu kuimba na kucheza unatakiwa uwe na upepo wa kutosha kwani mara nyingi anaanza vizuri mwanzo, ila akifika kati upepo unapungua au labda inawezekana ukawa uchovu sababu kwa siku sita amefanya show nne mfululizo sehemu tofauti.
Jukwaa halikuporomoka kama lile mlilomuandalia sijui Iringa?

Kitu wanachofanya huko mbele sio lazima tiwaige lakini ikimpendeza afanye yeye ili anogeshe zaidi. Swala la budget wadada wanaelewa akiongea nao tu watamuelewa. Sio lazima wawe wengi hata wawili. Hii itamsaidia kifanya mziki Wa maana na kupata Wateja wengi.
 
kwa hivyo alipuuza amri ya BASATA asifanye show ndani na nje ya nchi? Kesi ya uhaini hii.
 
Back
Top Bottom