Wakenya watupa vijembe kwa Diamond. Wasema WASAFI FESTIVAL ilikuwa ya kipuuzi, Wajutia kuharibu pesa yao

Mtarban

JF-Expert Member
Jan 14, 2015
3,818
5,007
Katika mtandao wa Twitter, raia wa Kenya na mashabiki AA Muziki wa Bongo Fleva wamekerwa na show ya Wasafi Festival iliyofanywa na Diamond na timu yake siku za hivi Karibuni nchi Kenya. Sina mengi zaidi tazama maoni ya baadhi ya mashabiki wa WCB waliyoyatoa kupitia mtandao wa twitter
Screenshot_20190102-081842.png
 
Nimesikitishwa sana, sio kwa comments za wakenya bali kwa muwakilishi tunayemtegemea kwenye mziki kimataifa kufanya show mbovu,iliokosa maadili kama ile. Jamaa kafikia hatua anakatika jukwaani wanawake Wanamchezea matako!!
Personally ameniangusha sana.

Kweli anguko likianza kukunyemelea mambo yanaanza kuwa hovyo hovyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimesikitishwa sana, sio kwa comments za wakenya bali kwa muwakilishi tunayemtegemea kwenye mziki kimataifa kufanya show mbovu,iliokosa maadili kama ile. Jamaa kafikia hatua anakatika jukwaani wanawake Wanamchezea matako!!
Personally ameniangusha sana.

Kweli anguko likianza kukunyemelea mambo yanaanza kuwa hovyo hovyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa kaisha limebaki jina tu
 
Katika mtandao wa Twitter, raia wa Kenya na mashabiki AA Muziki wa Bongo Fleva wamekerwa na show ya Wasafi Festival iliyofanywa na Diamond na timu yake siku za hivi Karibuni nchi Kenya. Sina mengi zaidi tazama maoni ya baadhi ya mashabiki wa WCB waliyoyatoa kupitia mtandao wa twitterView attachment 983460
hao team keroro tu watakua
 
Piga keleleeee,haya tuimbe pamoja,jamani siwasikiii haya piga kelelee..
Yaani Mimi nimelipa hela yangu halafu unaniambia nipige kelele,yaani unaniambia niimbe wakati wewe ndo mwanamuzuki,na nimelipa hela nikuone wewe ukiimba live!!..

Wasafi anzeni kufanya mazoezi ya live show,play back zilishapitwa na wakati..
 
Laana za Basata hizo, waswahili walisema mkataa kwao mtumwa na kusisitiza asiyefunzwa na mamaye hufunzwa na walimwengu.Diamond alimwambia SHONZA akifungiwa anahama nchi.Ajaribu aone atarudi kwa magoti kuomba msamaha.Akumbuke bila fans wake wa Tanzania hata wa nchi nyingine wasingemuona.
 
Back
Top Bottom