Risasi mwaulanga aomba msaada wa usd 16,000/=

Tehe tehe!! Jamaa anatafuta pesa hata kwa kupumuliwa mgongoni!!!!!!!
 
Mkuu mbona nilimsikia juzi akimuombea pesa jamaa mmoja hivi anataka kupanda vilele vya milima saba duniani? Jamaa ameishapanda vilele kadhaa ikiwemo kilimanjaro na sasa anataka kwenda Evarest ndio anaomba apatiwe msaada ili aweke record kama Mwafrika wa kwanza mweusi kufanya hivyo. Kwa hiyo baada ya kumtangaza huyo jamaa naye ameamua kutafuta pesa ili apande kilimanjaro?
 
risasi mwaulanga nyota yake imegoma kabisa kung'aa.....
Kajipendeza sana kwa magamba akataka hadi kuitisha maandamano kuwalaani madaktari waliogoma naona akakosa uungwaji mkono. Sasa anataka kuibuka kwenye utapeli wa kuchangisha mshiko
 
Back
Top Bottom