Shabiki wa kiume apambana ili amshike gegedo msanii jukwaani Nairobi Kenya.

Lord Diplock MR

JF-Expert Member
Mar 16, 2015
1,393
3,234
Wakati kitendo cha msanii Diamond Platnumz kushikwa makalio kikiushangaza umma. Kitendo kingine kilichoishangaza jamii kwenye wasafi festivals ni kitendo cha msanii Lavalava kuchezewa sehemu za siri jukwaani na mashabiki. Wakati mashabiki wakifanya hivyo Lavalava alionekana kutojali na kuenjoy kitendo hicho. Cha kushangaza zaidi kuna baazi ya wanaume walikuwa wakipambana ili wapate kumshika japo bunduki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanawake wa nyeri wanasura za kiume mkuu hapo akuna mwanaume sio kila anavaa suruali na shati basi ni mwanaume mkuu punguza hasira


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
hivi unakubalije kushikwa dyudyu na wa jinsia yako???!!
 
Wanaume wa Nairobi hao. Ndio dada zao wameamua kula chumvi zao wenyewe.
Mimi nimeona mwanaume mmoja kamkamata suruali anamvuta ili ageuke kama Diamond ili aone kama na yeye anawwza kutingisha makalio kama mwenzake. Waliobaki wote ni wanawake hapo.
 
Back
Top Bottom