Huyu Bwana Salim Kikeke mtangazaji wa Radio ya BBC alipenda sana kuwa anakuja Tanzania akiwa OFF
Mara nyingi tumekuwa tukikutana pale Qatar uwanja wa ndege upande wa Transit wote tukiwa tunatokea...
Huyu jamaa tumpongeze kwa makubwa anayofanya. Tusikosoe na kutoa kasoro kila siku. Tukiona kuna vijana wenzetu wanajituma na kufanya kazi kwa bidii tuwape moyo na kuwapongeza waendelee kufanya...
Wakuu naangalia Tamasha la wasafi huko sumbawanga kupitia channel ya wasafi media lakini nimeona ghafla jukwaa limegeuka chini juu. Na baadhi ya wasanii kutumbukia Kisha ghafla matangazo...
-Mshambuliaji wa klabu ya Coastal Union Ali Salehe Kiba amefanya mabadiliko kwenye mkataba wake na klabu ya Coastal Union ya Tanga. Mwanzo wa msimu huu Alikiba alisaini mkataba wa miaka miwili...
Jana kijana ametua hapa Sumbawanga idadi ya watu waliokuja kumpokea huku wengine wakijaa barabarani ni jibu tosha kuwa kijana ana fan base kubwa sana.
Diamond platnumz kwa sasa hategemei tena...
Hivi mama zetu siku hizi wanatuonaje sisi watoto wao?.Au sisi vijana tunawaonaje mama zetu?.Fikiria kuwa wewe ni msanii mkubwa maarufu halafu mama yako yuko hivi.AU TUKUBALIANE TUU NA WAKATI?
Rapper kutoka pande za states mwenye hitsong ya 'Panda' hakuamini kilichomtokea juzi kwenye stage wakati anapiga show baada ya 'makonki' wa Kenya kusepa na raba zake na soksi nakumuacha mchizi...
Na Veronica Simba – Dar es Salaam
Waziri wa Nishati Dkt Medard Kalemani ametuma ujumbe kwa watanzania kwamba utekelezaji wa mradi mkubwa wa kusafirisha mafuta ghafi kutoka Hoima nchini Uganda...
Show ya kibabe ya wasafi festival iliyokuwa ikifanyika sumbawanga katika uwanja wa Nelson mandela imeahirishwa kutokana na mvua kubwa kunyesha wakati show ikiendelea na kufanya isimamishwe kupisha...
Mwaka huu bado unashikiria record kwani ni mwaka ambao wanamuziki wengi walitoka zaidi ya miaka mingine toka bongo fleba ianze
1.noorah- vijimambo
2.Q-chief- aseme
3.ngwea-getto langu...
Kwa mliotazama game ya Coast Union Vs Mbeya City jana, vipi mfalme alifanikiwa hata kutoa pasi moja ? Sikupata muda wa kuangalia nasubiria marudio azam tv leo.
Hii ni habari njema kwa wasanii wa Tanzania kuona wanapewa heshima ya kutosha,tulishazoea kuona wanasiasa tu ndio wanapewa heshima kama hii,sasa ni zamu ya wasanii natamani siku nyingine kusikia...
Wiki iliyopita Msanii Baraka Da Prince alijigamba kuporomosha mjengo wa maana na kudai ametumia kiasi kikubwa sana na bado haujaisha. Jeuri hiyo ikapelekea hata kubadilika kwa kiswahili chake na...
Jana kwa mara ya kwanza kaanza ! coast vs mbeya city, nilikua ktk pilikapilika zangu sikuwahi kuuangalia, baadae saa 5 usiku ulirudiwa nikiwa job nikawa naibia jicho kwenye tv ili nimuone mfalme...
Salaam wakuu,
Ni miaka imepita lakini hii ngoma ya 'dhahabu' ni bonge la hit ambalo hadi leo ikipgwa lazima watu waamke. Je, katika wimbo huu unadhani nani ndio alifunika kati ya Joslyn,Blue au...
Wazee wenzangu wapenzi wa redio hasa rfa juzi apa napita mtaani nikaskia sauti ya presenter bora kabisa wa miaka ya 2000s anatema cheche
Uyu ndugu nilipata kumkubali sana hasa kwenye kipindi cha...
Jana usiku kutokana na mvua kubwa kunyesha ilibidi Diamond platnumz atangaze kusitisha show na kuahidi kurudiwa siku ya leo saa kumi jioni , Diamond amesema kuwa Show itakuwa ni buree
Wachawi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.