Hivi Aisha Madinda yupo wapi?! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi Aisha Madinda yupo wapi?!

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Teamo, Oct 9, 2009.

 1. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #1
  Oct 9, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  huyu mchuchu mimi nilikuwa namzimia sana,na ndio aliyekuwa ananifanya niende kuwaona jamaa wakitumbuiza.yupo wapi huyu mtoto wazee?

  au yupo yuropu nin?


  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]
  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]
   
 2. Limbani

  Limbani JF-Expert Member

  #2
  Oct 9, 2009
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 1,441
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  nani huyu, Aisha Madinda au?
   
 3. i

  inawezekana Member

  #3
  Oct 9, 2009
  Joined: Jul 17, 2009
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mbona nilisikia amesharudi jukwaani kwa mbwembwe zote, kuna wakati alikuwa anaumwa miguu nahisi na kwa ajili ya kucheza sana, Mungu amsaidie aendelee kutupa raha tena
   
 4. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #4
  Oct 9, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Yup...mwenyewe.....! Nadhani atakuwa kabebwa jumlajumla na wakware wa Dubai, baada ya kuumwaumwa Bongo na Bosi wake kujivuta vuta kumsaidia..
   
 5. Limbani

  Limbani JF-Expert Member

  #5
  Oct 9, 2009
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 1,441
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  Lakini mkuu huyu dada si utani, ilikuwa nikiingia Twanga naangalia viuno vyake tu!!
   
 6. The Farmer

  The Farmer JF-Expert Member

  #6
  Oct 9, 2009
  Joined: Jan 7, 2009
  Messages: 1,586
  Likes Received: 438
  Trophy Points: 180
  Alikuwa anaumwa nini mpaka bosi wake akawa anajivuta vuta???
   
 7. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #7
  Oct 9, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Nimemugoogle wala sijamuona! hahahahaha
   
 8. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #8
  Oct 9, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  huyu dada ni noma,kwani yule MISTA MADINDA VIPI?
   
 9. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #9
  Oct 9, 2009
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Mkuu usisifie sana shem ataona
   
 10. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #10
  Oct 9, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  HAHAHAH!mkuu,mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni.huyu dem alikuwa tait.mapedeshee walikuwa wanatanguliza rav4 JUST TO WIN HER!sijui fikiri-madinda alitoa nin mazee.....!

  ila kwasasa naona kimyaaaaaaaaaaaaaaaaa!sijui kunani
   
 11. carmel

  carmel JF-Expert Member

  #11
  Oct 9, 2009
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 2,841
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Timu yote ya mauno ipo hapa bado tu Chrispin ndo hajaitia timu.
  Du wanaume na viuno mi hata siwaelewi nyie viumbe. Aisha yupo mtaa
   
 12. Limbani

  Limbani JF-Expert Member

  #12
  Oct 9, 2009
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 1,441
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  Mkuu viuno vinaongeza maonjo!! Ni kama kachumbari kwenye pilau!!
   
 13. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #13
  Oct 9, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  kiuno ndio chenyewe mamaake!we angalia pic moja ya mwisho lazima ukubali kunata na biti,maanake kunavijigadeni lavu hivi vinachungulia kutokea ''ikulu''
   
 14. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #14
  Oct 9, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Tutake radhi we ngamia/carmel...Wengine ni maparoko hapa... acha hii mambo bana...lol!
   
 15. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #15
  Oct 9, 2009
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Ha ha ha ha, jamaa siunamjua alikuwa mwembamba kama mwiba na kama umesoma geography kwenye theory ya Isostasy utakuwa unanipa kbs.
   
 16. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #16
  Oct 9, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  haya bwana nguli!lakini mwenzio sina utaalamu na jografia
   
 17. Mopao Josee

  Mopao Josee JF-Expert Member

  #17
  Oct 9, 2009
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 280
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Duh!!!
  Kaambiwa apumzike maana miguu yake inavimba akiunganisha shooo.
  Anakaa mji mwema kigamboni alikojengewa na madinda
   
 18. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #18
  Oct 9, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  [​IMG][​IMG]

  hapa hata NYANI-JULIUS akiona kitovu na vijimanyoya hivyo ataacha dharau,na atakumbuka home
   
 19. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #19
  Oct 9, 2009
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Hio theory inasema kuwa ukiona sehemu kumetokea bonde ujue kuna sehemu mlima umetokea(just simple expln). Kwa hiyo kama mtu ni mwembamba sn kuna sehemu mnene(sijaitaja)
   
 20. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #20
  Oct 9, 2009
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  When large amounts of sediment are deposited on a particular region, the immense weight of the new sediment may cause the crust below to sink. Similarly, when large amounts of material are eroded away from a region, the land may rise to compensate
   
Loading...