Mahusiano Birdman Na Toni Braxton Ndiyo ‘Bye Bye’

Kanungila Karim

JF-Expert Member
Apr 29, 2016
20,744
25,445
birdman-toni-braxton-split.jpg






RAPA Birdman na aliyekuwa mchumba wake, Ton Braxton, mahusiano yao yamefikia tamati mwishoni mwa mwaka 2018 na mwanzoni mwa 2019.





Siku ya mwaka mpya tarehe moja, rapa huyo aliweka video kwenye instagram stori iliyokuwa inasomeka, “imekwisha” na baada ya muda alifuta kila kitu kwenye akaunti yake.


baby.jpg






Kwa upande wake, Braxton alifuta post zote katika akaunti yake na kuweka post aliyovaa nguo nyekundu huku ikiambatana na maelezo yaliyosomeka, “Kuanza ukurasa mpya si chaguo rahisi, lakini kila wakati chagua kuchaguliwa” akamalizia na kuwatakia mashabiki mwaka mwema.


tonbra.jpg






Wawili hao wamekuwa marafiki kwa muda wa takribani miaka 17, mahusiano yao yalianza 2002 na mwaka 2018 walitangaza uchumba.
 
The 1st shot
The first nigga got shot
We bust him open like a blunt on a marley nigga yeah!
A hundred G's
Nigga score some keys
Then we went to the hood and then we started to ball nigga..

We know them people been paper chasin
So we stay out the way then we pull out the hardest nigga
We keep the gats close, in case you wan' know
You come to the hood I bet you a target nigga
Its all good 'till you catch a case A nigga never escape 'cause you edicted to money nigga
-----------------------------------------
Well!
let me take to to the neck of the woods In my hood uptown!
Show you what we livin' like
Walkin' like a man
Finger on the tigger got money in my pocket
I'm a uptown nigga nigga!
 
Back
Top Bottom