Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Nilikua nafikiria itakuwaje hawa ma celeb wakitoa makeup au watumie makeup ya kawaida (kama sisi), watakuaje. Nimewapata ma celeb kadhaa bila makeup, wanatisha. Kumbe wanawake wa bongo ni wazuri...
0 Reactions
22 Replies
12K Views
Nasikitika kuona kaka zetu wakilalamika dada zao kuolewa na wazungu, wakati wao ndio wanasababisha. Kwa ufahamu wangu kuanzia miaka10-11 iliyopita kiwango cha wadada wa kitanzania kuolewa na...
2 Reactions
56 Replies
10K Views
Dunia leo inaadhimisha miaka 30 ya kicho cha mwanamapinduzi Robert Nesta Marley. Music wake ulichangia kuleta hisia za kimapinduzi. Mchano wake uliheshimika sana hadi kupewa nishani ya amani na...
1 Reactions
25 Replies
14K Views
NEW YORK — Whitney Houston is back in rehab. A representative for the superstar singer confirmed Monday that Houston is undergoing treatment. Kristen Foster says Houston is in an out-patient...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Naona kama suzie wa Enews kachora tatoo kwapani au ni nini hicho? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
32 Replies
8K Views
Naomba kujua huyu ni nani? na je ni mtanzania? Kiufupi nataka habari zake huyu dada mana ndio kwanza nimembmui kwnye Instra. Anaonekanwa kama mashuhuri flani hivi ila sie wengine ni watu...
3 Reactions
392 Replies
74K Views
Wakuu Nawasalimu wote ,nasimama na CAG! Mwishoni mwa mwaka mimi na Jamaa zangu tuliona tukafanye kazi na Bata Nairobi Kenya kwa maana huu uelekeo wa vyuma haueleweki basi tukakubaliane...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Unaona wadada wanaanza wakiwa wakuvutia miili mizuri lakini wakianza kupata umaarufu wanaanza kufura na wala hawajali miili yao. Au nikule kuimba huku wamekaa? Kwanini hawafanyi mazoezi?
0 Reactions
29 Replies
8K Views
Lebo ya RCA/Sony inayosimamia kazi za msanii R.Kelly imeungana na harakati ambazo zinataka kazi za msanii huyo kusimamishwa kwa muda. Lebo hiyo imechukua maamuzi hayo kutokana mambo...
2 Reactions
13 Replies
3K Views
Heshima kwenu wakuu, Kuna huyu mtoto ambaye anapendwa kutaniwa na kulishwa maneno kwenye picha yake sasa kakua. Huyu ni mtoto wa huko Ghana, picha ya kwanza inayosambaa, alipigwa wakati...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Alikiba katafuta vijana wake sijui kawaokota wapi huko, vijana wanabana pua hatari kuimba kwenyewe hawajui, Ngoma zote walizotoa ni mbovu Vijana wote wana sauti za kuimba Kaswida na sio...
8 Reactions
50 Replies
9K Views
Katika pitapita zangu nimejikuta nikiingia sehemu na kupigwa na mshangao....nimeingia kwenye blog ya lady jaydee na nimekuta ameweka nani zaidi kati yake na Whitney Houston, watoa comment wengi...
2 Reactions
50 Replies
11K Views
UKIMJUA ANAEKUCHUKULIA MUME UTACHUKUA HATUA GANI? Mambo ya kuchukuliana waume si mapya kabisa kuyasikia lakini likikukuta ndio utajua maumivu yake.Namna ya kukabiliana na maumivu hayo...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
KUNA mdau mmoja ambaye ni mwanamke anajaribu kuongea na Fc huku akiomba jambo analotaka kushiriki na sisi tusimpuuze kwani yeye ana uhakika nalo jambo hilo, ndio maana anataka liwafikie jamii na...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Tuanpoongeela ma celebrity huyu ni mmoja wapo sio wakina anty nani sijui na visichana vya dar vyenye dram ya kudaka wazungu....... Dr.Hezekiah Kamuzora is the first East African who was...
0 Reactions
5 Replies
5K Views
I like this man, cant compare with other artists:becky:
0 Reactions
2 Replies
1K Views
As it was suspected, Mariah Carey and husband Nick Cannon will be having twins. Nick Cannon, who will be receiving much scolding from his wife, revealed the information on today. Previously, when...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Jamani yu wapi rapa huyu wa zamani wa twanga?
0 Reactions
2 Replies
3K Views
The latest fashion accessory for A-list white people in America -- Angelina Jolie, Madonna, and now Sandra Bullock -- seems to be a beautiful black baby. Mimi nadhani Serikalii ya Tanzania...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…