Mwanamuziki Wa Gospel Nigeria, Sinach Afikisha Viewer 100M YouTube Album Ya WayMaker!

Jackal

JF-Expert Member
Apr 10, 2012
9,544
12,658
Waymaker” By Sinach Crosses 100 Million Views On Youtube! .

Nigerian Gospel music icon, Sinach has crossed the 100 Million views mark on Youtube for the song “Waymaker”; a feat only 2 other Nigerian artistes (secular) have achieved.
FB_IMG_1552060647662.jpg
FB_IMG_1552060653621.jpg
FB_IMG_1552060653621.jpg
 
1m viewers = 20,000 USD
Sidhani kama ni sahihi mkuu,youtube hawana kiwango kamili cha hela kutokana na views fulani,unaweza ukawa umepiga views kibao na hela ikawa chini,na hii ni kutokana na watazamaji walioangalia video yako wanatoka nchi gani.Mfano mtazamaji wa tanzania akiangalia video na akaona tangazo aka SKIP unapata $0.90 wakati akiangalia toka kenya unapata $1.54 na akiangalia mtu toka australia unapata $6....hivyo hela unayopata inategemea sana trafik yako inatoka nchi gani na urefu wa video yako ambapo ikiwa ndefu inaweza ruhusu Matangazo mengi zaidi yawepo na kukupa fedha zaidi.unless huyu mwenye video awe ameingia mkataba na kampuni nyingine ambayo itaweka tangazo kwenye wimbo.

Nimefanya youtube 3years na hiyo ndio experience yangu.

-Anko Jei
Screenshot_20190309-103535.jpeg
Screenshot_20190309-103523.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
-Anko JeiView attachment 1041331View attachment 1041332

Sent using Jamii Forums mobile app
Asante mkuu kwa Elimu hii
 
Nahisi kuna mahali umekosea. Kama ni kweli unachosema maana yake msanii kama Diamond ambaye huwa anafikisha mpaka view milioni 7, maana yake anapata roughly dola milioni 6. Kwa hiyo kwa nyimbo mbili tu ana mkwanja dola milioni 12!

Sasa kama huyo ni Diamond, je wasanii wa Marekani wanaofikisha view milioni 50 kwa kila wimbo maana yake Mtu kama Rihanna kwa nyimbo kumi tu ana Usd. Milioni mia tano! Maelezo yako yana walakini.

Kidogo nachofahamu ni kuwa ili ulipwe kila mtazamaji lazima aangalie ads angalau kwa dakika 20. Na unalipwa dola moja per 1000 views.

You're totally wrong,soma jamaa kaandika nini...
Hiyo yako ni kwenye blogs/websites vistors wakifikia hivo unapata dola moja but YouTube ukifikisha views hizo ndio unaweza anza kulipwa/ku apply Adsense.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo mama ni konk masta.

Juzi juzi hapa nw davido alikuwa akisherehekea wimbo wake wa Fall ku hit 100m,akasahau dada yake yuko hapo nyima anaweza vunja rekodi yake muda wowote.

Ila hawa wanigeria ni vipere sana hapa africa kwa sasa.
 
Back
Top Bottom