Picha nyingi za utoto zimebeba Siri kubwa za Kiroho

Zero IQ

JF-Expert Member
Dec 21, 2016
13,916
24,674
Kwa ufupi tu tazama sana picha zako za udogoni mapozi Na the way ulivyokuwa una behave alafu oanisha Na maisha yako ya sasa utagundua vitu vingi,

Yale maisha/Michezo uliyokuwa Unaishi udogoni bila kujua yalikuwa ni kama maono/utabili wa mambo/mafanikio yako ya mbeleni

Ni ngumu kufahamu Kwa sababu mambo mengi ya kiroho yamefichwa Rohoni Kwa Siri kubwa,uwezo wa kuyafahamu ni mpaka yakutokee au uwe na nguvu Kutoka Rohoni
IMG_20190307_091329_910.jpeg

Hii ni picha ya diamond plutnumz Kwa mujibu wa taarifa kutoka kwenye page yake ilikuwa ni ya mwaka 1989,

Ukiitazama sana picha hii utagundua kitu kimoja pozy,style Na the way alivyobehave inaonyesha mengi Na kama imetabili maisha/mafanikio yake ya sasa ukiendelea kuitizama utagundua mengi zaidi tofauti na hayo.

Cc_Zero IQ
 
Hivi vitu vinakuwa damuni,sema wengine tunashindwa kuvistawisha.

Wazungu katika hili wameweza,mfano mark zucke wa facebook,akiwa na miaka 11 tayari aliishakuwa na uelewa mpana tu wa kompyuta mpaka kufikia kutengeneza mtandao wa kuchart wa familia yake.leo hii anaishi kwenye fani aliyoipenda.

Wewe unakua kufuata upepo unafikisha miaka 25 baada ya kukosa ajira unaona wacha uanze kufuga kuku,wakifa kuku 200 tu,una mind unaamua ulime nyanya zikikosa soko,unahamia kwenye kutengeneza masofa.huna spirit kila dhoruba itakuvuruga na kukuyumbisha sana.
 
Kwa ufupi tu tazama sana picha zako za udogoni mapozi Na the way ulivyokuwa una behave alafu oanisha Na maisha yako ya sasa utagundua vitu vingi,

Yale maisha/Michezo uliyokuwa Unaishi udogoni bila kujua yalikuwa ni kama maono/utabili wa mambo/mafanikio yako ya mbeleni

Ni ngumu kufahamu Kwa sababu mambo mengi ya kiroho yamefichwa Rohoni Kwa Siri kubwa,uwezo wa kuyafahamu ni mpaka yakutokee au uwe na nguvu Kutoka Rohoni
View attachment 1039969

Hii ni picha ya diamond plutnumz Kwa mujibu wa taarifa kutoka kwenye page yake ilikuwa ni ya mwaka 1989,

Ukiitazama sana picha hii utagundua kitu kimoja pozy,style Na the way alivyobehave inaonyesha mengi Na kama imetabili maisha/mafanikio yake ya sasa ukiendelea kuitizama utagundua mengi zaidi tofauti na hayo.

Cc_Zero IQ
muongo wewe, diamond kazaliwa mwaka 89, akawezaje kukua na kurefuka akasimama na redio akapata picha hiyo na alikuwa bado mchanga!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom