Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

ROSE NDAUKA, CASSO WAMWAGANA Rose Ndauka MSANII wa filamu za Kibongo, Rose Ndauka na mwanamuziki wa Kizazi Kipya aliyekuwa akimsimamia kazi zake Said Kassim a.k.a Casso wamemwagana rasmi baada...
2 Reactions
19 Replies
4K Views
Wanazengo acheni masihara, Ma photographers wa domo ni Ma handsome bwana , warumi mie ningekua na roho ya kuhonga hawa wa kaka ningewaweka ndani waachane na habari za kutanga tanga kupiga picha...
0 Reactions
44 Replies
10K Views
Mmmh yan Toka Kaka yetu ashinde biko nasikia siku hzi Ana mashauzi, anajikuta sultan, ata kuongea siku hizi kabadilisha, mxieew yan mashauzi yote Kisa pesa za mwanamke, kweli umechelewa kuingia...
8 Reactions
65 Replies
10K Views
Mtangazaji maarufu wa kipindi cha habari nyepesi nyepesi Deogratius Rwayunga bado anatangaza?
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Hawa ndugu zangu walihamia mazima kanisa la ufufuo na uzima linalomilikiwa na gwajima tena waliondoka kwa kuliponda na kulidharau kanisa katoliki. Leo wamerejea kanisa katoliki la mitume mara...
13 Reactions
101 Replies
12K Views
Sasa jaman huddah, unatafuta kujichoresha tu , hao wadosi wa ki Nigeria wangeanzia wapi tu kukusingizia kuwa unajiuzaga Nigeria ? Mbona wasimsingizie vera? Hao wanaigeria kwanza wamekujuaje? Na...
3 Reactions
26 Replies
6K Views
Wote ni marafiki, walikuwa yamoto. Mmoja anasapotiwa na superbrand Clouds FM, mwingine anasapotiwa na Wasafi FM. Wote wana nyimbo Kali, na wote ni wakali kushinda diamond(mzee) na alikiba(mzee)...
0 Reactions
14 Replies
5K Views
Jamani Sasa na wewe kifesi, why would you go to media and brag about another man tying to force you to *** him ? That's so juvenile, na wewe Harris kapiga, shame on you , kwan mabasha huwaon...
9 Reactions
124 Replies
24K Views
Ikiwa leo ni Mei Mosi , wananchi wa Mbeya wamebahatika kuwa na Sherehe mbili kubwa , moja ni siku ya Wafanyakazi Duniani na nyingine ni siku ya kuzaliwa Mbunge wao , mtu pekee aliyefanikiwa...
12 Reactions
41 Replies
4K Views
  • Closed
Msanii wa mziki wa Hip-hop Tanzania maarufu kwa Jina la Nikki wa pili ameweka bandiko katika mtandao wa Instagram.Bandiko hilo limeonekana kama ni kashfa dhidi ya kitabu kitakatifu Cha Biblia kwa...
2 Reactions
80 Replies
12K Views
wakuu,huyu mama toka nianze kuijua itv naskia tu yeye akitajwa kama ndiye mkurugenzi wa itv. so nauliza yeye ana hisa hapo itv au,mbona hastaafu?
1 Reactions
17 Replies
6K Views
Msanii Drake atumia TSh. Bilioni 230 kununua ndege yake Msanii wa muziki Marekani, Drake amethibitisha kumiliki ndege yake binafsi 'Air Drake' ambayo ni Model 767 yenye vyumba viwili vya...
7 Reactions
46 Replies
10K Views
Kwa masikitiko makubwa napenda kutoa pole kwa familia nzima ya Prof Mutahaba,CMG ndugu jamaa na marafiki kwa kumpoteza kijana mahiri,visionary mastermind wa tasnia nzima ya burudani nchini,hakika...
4 Reactions
38 Replies
7K Views
Mwanamama mjasiriamali, na managing director wa jarida maarufu nchini , Bang magazine , aitwaye Emelda Mwamanga amefunguka kuhusu bifu lake na mfanyabiashara maarufu nchini, Reginald Mengi...
0 Reactions
32 Replies
11K Views
Kizuri kula na mwenzio. Ila mademu mna roho mbaya sana yaani kwenye hela ndo unampindua hadi rafiki yako ili umnyakue bwana ake kisa hela. Sasa madam rita anasota na bss yake itv katimuliwa tbc1...
10 Reactions
40 Replies
21K Views
She is a simply stunner one, nimekapenda buure.
10 Reactions
157 Replies
63K Views
Unajua kifesi kwenye ile Audio alikua anampa mtu umbea tu kwenye simu , hakujua kama anarekodiwa, so akawa anaropoka umbea wote, hata nahis baadhi ya mambo alikua anaficha, Ila hawa watakua tu...
7 Reactions
63 Replies
10K Views
Naona ni muda mrefu account yake ya instagram hapost chochote picha zote amefuta nahisi kama kuna kitu kinamsumbua huyu kijana yupo wapi
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Back
Top Bottom