Mh Makonda amuomba radhi Piere LIQUID kupitia SHILAWADU

*KUWA MAKINI LEO
01/04/2019,"SIKU YA WAJINGA".*

Kesho asubuhi, kutakuwa na ule upuuzi wa " Siku ya Wajinga Duniani ", katika taarifa na habari mbalimbali kupitia mitandaoni.

Napenda kuwakumbusha wapendwa wote, kuwa makini na baadhi ya taarifa mbalimbali zitakazokuwa zikitolewa siku ya kesho (hasa asubuhi) kupitia mitandao na sehemu nyingine kuwa, zinaweza kuwaletea sintofahamu au usumbufu kwa muda katika shughuli zenu kama hamtokua makini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante mkuu, nimejikuta naingia kwenye mtego kwa kufungua uzi huu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom