Tetesi: HAPA MKUU , YUPO SAHIHI lakini SIO MAHALA PAKE

roja24

JF-Expert Member
Feb 7, 2012
634
406
Wadau kifupi mie nimfuatiliaji wa matukio ya hapa nchini, na mojawapo ya tukio nililolitazama ni hili la TOKOMEZA ZIRO - lililoandaliwa na Mhe . JoKate.

Suala ni kwamba , Muheshimiwa ambaye ni mwenyeji eneo la shughuli Kwa maoni yangu ameharibu kusema yale wakati JAMAA, (Mlev wa taifa) yuko mule mule na amealikwa kwa Heshma. Ila ujumbe mie namuunga mkono kuwa TAIFA HILI TUNASHADADIAGA VITU VYA AJABU AJABU kuliko Mambo ya Msingi..... The like s of Daktar Shika, Nabii Titto, Nyos..o , Amber Ruty n.k ..... Ndio vinapewa airtime kwenye media mpaka unashangaa....

Anyway maoni yangu ni kwamba, Ooh Yes, right Message, Wrong Place, tena na mtu/mhusika akiwemo Ndani Daaaah. Tena kaalikwa.
Naomba kuwasilisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wapi ushawahi kuona gazeti la mwananchi au nipashe limemuweka front page Pierre au Amber rutty , nyosso???
Zaidi ya "mbowe sasa akiona cha motoo "

Kachukue buku 7 lako hapo lumumba
 
Wewe ni Bashite?

Back
Top Bottom