Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

katika ukurasa wake wa instagram hajamfollow mtu yeyote akimaanisha kuwa hana cha kujifunza wala kuangalia kwa wenzake na mdogo wake nae abdukiba ndio hivyo hivyo, jamaa ana roho mbaya sana ndio...
1 Reactions
35 Replies
5K Views
Habari zenu wananzengo, Guys hili bifu la mondi na kiba bado lipo pale pale, wale wanaosema hawa jamaa hawana mabifu basi wanajidanganya tu.. Jiulize ushawahi kuwaona vijana wa Kings music...
5 Reactions
162 Replies
15K Views
Ila na wewe Mbasha itakua kweli unabakwa, we mwanaume gani kila Siku unachambana na akina carrmastory mara faiza mmhm, wanaume hawanaga tabia hizo bwana , kuchamba tuchie sie akina warumi...
1 Reactions
13 Replies
4K Views
Huyu msanii uwa najiuliza cipati majibu madensa,wasanii wake,maproducer,wapiga picha,wachumba,watoto wake,managers,bodyguard na familia yake yote famous. Hii nguvu anaitoa wapi,mbaya zaidi ukiwa...
4 Reactions
23 Replies
4K Views
Mc wa taifa leo anaoa..juzi ndo ilikua send off Harusi ya taifa,uwanja wa taifa Ila taifa lina mambo mengi saaana hadi mengine hayakumbukwi! Hongera mc pilipili..Mungu aisimamie ndoa yako ijae...
1 Reactions
68 Replies
12K Views
Habari zenu ndugu wana jf ni matumaini mko vyema ! Niende moja kwa moja kwenye mada ,Nimetokea kufuatilia clip za youtube za maigizo ya huyu mtoto Mai ni mtoto mdogo sana ambae hajajitambua...
6 Reactions
101 Replies
15K Views
Aman iwe juu yenu Yes is onether Friday siku ya kufurah na kuenjoy Ngoja niende kwenye maada moja kwa moja au siyo mazee Anaitwa Joseph haule ni msanii na mbunge wa mikumi Bila Shaka watu...
12 Reactions
56 Replies
8K Views
Habarini Wadau, Nimewakumbuka sana The Kilimanjaro Band, hasa ngoma yao ile ya "Kachiri" "Tulizana Mpenzi" wananjenje na "Boko" Hasa kiswahili kizuri kilichotumiwa na yule mzee na pale pa...
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Ila wanazengo huyu mbwa kajua kutuumbua wambea sie, wenzao tulijua ndoa ndo kushnei kumbe mapicha picha tu wanatuchezea, mxieew ... sasa lulu na wewe kujichetua juzi na ma video kujifanya una...
0 Reactions
18 Replies
5K Views
Amekamatwa na Idara ya Polisi ya New York kwa tuhuma za kuwasafirisha wanawake kwa ajili ya kuwatumikisha kingono. Ametiwa nguvuni wakati akiwa katika Jimbo la Chicago Mwanamuziki huyo wa...
1 Reactions
38 Replies
5K Views
Wangapi walikua wanasubiria engagement ya tanasha na domo kama mimi ?, by the way nilijuaga wakenya wakogo smart kuliko mademu wa tized, ila now it’s confirmed they are all the same , they are all...
4 Reactions
51 Replies
9K Views
Hi Guys,, I Hope Mko Gud,,,Right? Ok Freshhhh,,, Sikumbuki vizuri Hili bifu la hawa miamba wawili wa Bongo flava lilianza lini ila ninacho jua tu bifu lao lina muda mlefu kidogo, Kusema ukweli...
3 Reactions
26 Replies
5K Views
Kwa wale watazamaji wa series ya game of thrones kuna mwanadada anajulikana kama Daenarys Targaryen ambaye jina lake halisi ni Emilia Isabelle Euphemia Rose Clarke, raia wa Uingereza kazaliwa...
1 Reactions
67 Replies
8K Views
Ni mchezo mchafu ambao sasa umeanza kuoneshwa wazi baada ya kuwa unazungumzwa na baadhi ya mastaa wa muziki wa bongo flavour na hata baadhi ya waigizaji wa filamu za hapa kwetu Tz,,,,,ipo mifano...
2 Reactions
805 Replies
233K Views
_ Mwanamuziki mkongwe wa Bongo Fleva, Afande Sele amewataka watoto wake kwamba akifariki wahakikishe anachomwa moto. Afande Sele amewataka watoto wake wasimamie hilo kwa kuwa hiyo ni zawadi ambayo...
2 Reactions
92 Replies
10K Views
Nimepita kitaa kimoja nikakuta wana wanabishana kubusu ule wimbo wa Mwanana FA unaoitwa alikufa kwa ngoma. Kuna mwana alikuwa anadai kuwa ule wimbo FA aliimba tu but mistari ilichorwa na jamaa...
0 Reactions
49 Replies
7K Views
Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Marlaw amepotea kwenye ramani ya muziki wa Bongo Fleva, hasikiki tena, licha ya kutoa nyimbo mpya kila siku, lakini hapati tena kushikilia chati za redio kama...
4 Reactions
66 Replies
23K Views
Habari wadau.. Diamond Plutnumz japo hajaenda sana shule ila ndio smart boy kulilo wote niliowahi kuwaona Tanzania. Amekulia Tandale na amekuwa bilionea bila kumuibia mtu, kula rushwa wala...
15 Reactions
19 Replies
4K Views
Hvi kumbe lile bifu la dada Jide na domo liliisha? Maana hawa nao walikua hawapatanagi, mmh nimefurahi kumuona jide kwa mara ya kwanza kwenye event inayomhusu Diamond, kweli dada jide siku hizi kakua
1 Reactions
61 Replies
11K Views
Tamasha la Nicki Minaj lazua gumzo Saudia Haki miliki ya picha Getty Images Image caption Nicki Minaj anajulikana kwa kuvalia mavazi ya kuonesha...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Back
Top Bottom