Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Ali Kiba Ali Saleh Gentamilan (anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama Ali Kiba; pia: King Kiba; alizaliwa 1986) ni mwanamuziki wa Tanzania, mwimbaji na mtunzi wa nyimbo chini ya lebo ya...
5 Reactions
72 Replies
21K Views
Nimeona huyo Dada yuko mbelembele sana,kumbuka Ruge hakukuoa,haujazaa nae.,kwanini unajichoresha. Mwanaume anayejielewa ni ngumu kujiweka coz umejifungamanisha na familia ambayo mwisho wa siku...
10 Reactions
51 Replies
11K Views
Jamaaa anajua , nyimbo zake bado zinaujumbe mzito hadi leo sikushangaa kusikia jamaa kawa mbunge hasa album ya MACHOZI JASHO NA DAMU, NIKUSAIDIEJE? nilipo kuwa natoka naye nyuma anatoka ,usiku...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Leo katika pita pita zangu watoto wakanidai diamond karanga. Kama utani tofauti na nilivyozoea siku za nyuma sijafanikiwa kuona mtu akiuza wala hata dalili.za uwepo wa diamond karanga mjini. What...
2 Reactions
26 Replies
5K Views
Mwanamuziki Khadija Shabani Taya (KEISHA) aingia rasmi kwenye siasa.
3 Reactions
30 Replies
10K Views
Yalimpokuta hamisa kutolewa siri zake na huyo mtu kisha akahamia kwako na kukusifia kila siku ukaonywa ipo siku yako sasa ona leo yaliyotokea hadi umeamua kumblock ngoja tusubiri aanze kumwaga...
0 Reactions
83 Replies
14K Views
Wasalaam wana jf.. Msanii namba moja na tajiri nchini Alikiba ijumaa wiki hii amewashangaza watu na mashabiki wake baada ya kuwapiga marufuku mashabiki wake wanao imba nyimbo zake au nyimbo za...
6 Reactions
43 Replies
7K Views
Huyu kijana mwaka Jana alifanya vizuri na ngoma Kali alizokuwa akitoa mpaka ikafika kushindanishwa na diamond lkn mwaka huu nimesikia ametoa ngoma tatu lkn zote zimefanya vibaya azivumi mtaani...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Naona the way WCB na "mwenyekiti wao" Diamond Plutnumz wanavyopata tabu na huyu mtu na wameona waamue mbinu mpya tu ambayo ni kutoa ngoma zaidi ya 3 wakati Kiba akiwa katoa ngoma hii tafsiri yake...
7 Reactions
111 Replies
9K Views
Wema Mungu amekujalia sura ya kuvutia, wazazi waliokupatia mahitaji yako muhimu mpaka umefika hapo na pia umejaliwa Nyota ya kupendwa. Yachukulie haya kukujenga wewe. Hapa duniani hakuna...
20 Reactions
62 Replies
7K Views
Wasalaam wanaJF, Msanii Diamond ambaye ukweli ulio wazi ni msanii nambari moja hapa Tanzania Msanii Diamond bado anapitia kwenye adhabu isiyo na kikomo ambayo amepewa na wamiliki wa EATV,efm na...
15 Reactions
124 Replies
17K Views
Niko hapa Dar kibiashara tangu Jumamosi (nimekuja kuuza vumbi la Kongo maana nimeona biashara ya majeneza peke yake ntakufa na njaa) Sasa jana nikiwa ndani ya bar moja mitaa ya Makumbusho mida ya...
3 Reactions
109 Replies
15K Views
Habari wadau, mie ni mshabiki muziki wa reggae,huyu mwanamuziki sifahamu taarifa zake mwenye uelewa nazo anijuze tafadhari.
3 Reactions
100 Replies
23K Views
Sosho media ni raha sana , bora ukose pesa ya kula kuliko bundle , bibie kaja na jibu murua, haongei sana , wambea kaz kwetu, limetushuka, mama G kashasema[emoji23][emoji23]
1 Reactions
27 Replies
8K Views
Habari wadau na wapenda buradani. Unaelezea vipi kuhusu hiii chat ya iTunes~kenya kwa wasanii wetu Wawili.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kwa wale ambao wanapenda miziki ya slow aka rnb song Basi usiache kusikiliza this song na kijana wetu ameutendea haki wimbo ambayo ameshirikishwa na mkali mmoja kutoka ufaransa. Mstari wa diamond...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ha ha ha ha ha huyu bwana mdogo Nasibu Abdul aisee mwacheni kama alivyo kwenye sanaa hakuna wa kumlinganisha naye maana mwisho wa siku utatumia nguvu kubwa na kuumbuka mchana kweupeee. Unaambiwa...
2 Reactions
14 Replies
5K Views
Ikiwa ni siku chache zipite, toka kutambulishwa kwa muigizaji kinda kwenye kiwanda cha film nchini Nigeria , Regina Daniels kwa wake wenzie watano, Baba mzazi aibuka na kulaani kitendo cha Mzee...
1 Reactions
24 Replies
8K Views
Mmh jaman shoga yangu mie hakubalig kupitwa na Kiki , toka Jana kaona Kenya pananoga, full tanasha kupewa Kiki , shoga angu nae akaamua kufanya women conference Sijui na single mother mwenzei...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nyie konokono wa bongo movie mkipata vibwana uchwara tu vinavyomiliki harrier basi mnajiona matajiri, mnaacha na kuigiza kabisa mnawekwa ndani mnakuwa ma house girl . Haya mwenzenu Regina...
4 Reactions
10 Replies
3K Views
Back
Top Bottom