Leo sallam amealikwa kwenye interview kwenye kipindi pendwa Cha block89 Cha wasafifm kinachoongozwa na wakali Kama jonijo Aliyah mtu imara na mdada mmoja mwenye kiingereza kingi kitachoanza...
BAADA ya kudaiwa na staa wa Bongo Fleva , Nasibu Abdul ' Diamond Platnumz' kuwa alichoropoa mimba zake mbili , mtangazaji wa Radio E - FM, Penniel Mungilwa ' Penny ' ameibuka na kujibu...
Aliyekuwa mpenzi wa mwanamuziki Nasibu Abdul ' Diamond ' Penniel Mwingilwa amesema sasa anatamani kuzaa lakini tatizo lipo kwa mwanaume wa kuzaa naye. Penniel Mwingilwa.
Penny alitoa tamko...
Siielewi hii misalaba yenye duara juu, ina signify kitu gani?
Naona ma celebrity kibao wakiivaa kuanzia Diamond Platnumz hadi Masanja Mkandamizaji
Mwenye uelewa naomba afafanue, maana sijawahi...
Star namba moja wa Music Tanzania anaye wika kwa sasa Harmonize a.k.a Kondeboy ameachana na lebel yake ya Music WCB iliyo chini ya Mwanamuziki Diamond Platnumz.
Hii ni baada ya kubadirisha bio...
Dogo ameigiza kama Tupac kwenye movie inayohusu maisha ya Tupac Shakur itwayo " All Eyes on me" . He is a typical Tupac look alike.
Kwenye interview yake anasema his dady ( who is a.Music...
Fella anasema habari za Harmonize kuondoka Wasafi hata wao wanazisikia mitandaoni.
Ila kama anaona amekuwa basi wao hawawezi mzuia kutoka Wcb.
Amemuomba aage akiondoka.
Hivi mtu mmoja anajiwekea ulinzi kama huu kweli, inamaana gani?
Ni kwa ajili ya usalama au ni mbwembwe na kulewa umaarufu?
Nakukubali sana Domo ila hapa sikuungi mkono....sawa sawa na Harmonize...
Nimeshtuka sana kuona picha hii ya mchungaji Lusekelo. Kwa kweli afya yake imeporomoka sana tena sana. Jamaa bila shaka ni mgonjwa, sielewi anasumbuliwa na nini!
Habari za muda wakuu,
Katika kusikiliza na kusoma lyrics za ngoma ya Diamond Platinumz Ft Fally Ipupa inaonekena aliamua kufikisha ujumbe kwa mzazi mwenzie huyo.
Tuanze hapa
"Una pesa kama...
Hii picha imenirudisha mbea mimi mjengoni kwa kweli , mama tukinao kajua kudamshi bhana aiseh , she looks so fine n clean , nikianza maneno mengi ntaaribu[emoji16]...
Btw wacha tusubiri baby...
Wale wapenzi wa classic RnB music hasa miaka 1990s, kati ya hawa nguli nani ulimkubali zaidi?? Nafahamu wote walikuwa wakali na wenye vibao hatari sana
Baadhi ya nyimbo bora za Keith Sweat
1...
Katika tamasha linalofanywa usiku huu wa tarehe 10/08/2029 Uko nchini Marekani New York.
Harmonize na Nandy wamekosa VISA vya kuingia nchini Marekani katika tamasha la Oneafrica_Musicfest.
Uku...
Fareed Kubanda aka Fid Q ameikacha rasmi kambi ya makapera aliyodumu kwa muda mrefu, baada ya kufunga ndoa mwanzoni mwa mwaka 2019 na mchumba wake aliyemtambulisha mwaka jana.
Rapa huyo kutoka...
Binafsi nampongeza kijana wangu wa Mtwara, Konde Boy kwa mafanikio aliyoyapata kupitia WCB kama kaamua kujitegemea ni jambo jema ni vema wamruhusu tu dogo akatafute sio kesi kama mkataba wake...
Tumezoea wanamuziki tunao waona wakiingia kwenye Nominations nyingi za Tuzo za nje ni hawa wanaoimba ila katika Nominations zilizotangazwa Jana na AFRIMA Msanii Rosa Ree ambae ni Rapper wa kike...
Wakuu
Kiukweli hawa wasanii wetu wa Tanzania baadhi sio wote story zao kwenye kujieleza utajua tu wana matatizo vichwani mwao.
Wasanii wengi utasikia niliishia kidato cha pili hata hawaeleweki...
aisee nianze kwa kuwasalimu wanajukwaa
Khalid Robinson ni msanii wa kimarekani ambaye anaujua muziki kwa kweli...Kipaji chake anakithibitisha ndani ya tungo zake mujarabu kabisa hadi sichoki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.