Wakuu,
Senga na Pembe wanafahamika miaka mingi kwa umahiri wao wa vichekesho. Kwa miaka mingi ni kama walipotea na kuibuka kizazi kipya kilichofanya wengi kuwasahau.
Wakongwe hawa wameingia...
Naanza na list ya massage zilizopo katika jiji la dar kwa ajili ya kupunguza uchovu kama unazijua nyingine endelea...
1.miriam massage masaki
2.signature massage makumbusho
3...
Habari zenu wakuu,Natumai mko salama...Direct to e' Point,Yule Mjasiriamali msomi wa mambo ya TV Productions na Mrembo ambae pia ni Boss/CEO wa Redio Lake FM 102.5 Iliyopo Mwanza Tanzania...
Naam Wanajamvi Series yetu inaendelea..WASSAPE akiwa kwenye kazi yupo serious..hatakagi kutekwa na starehe ya aina yoyote......#Inaendelea.....Usikose...
To be Continued.
@NgarenaroBoy.
Kwa wale wapenzi wa Muziki wa Bongo flava na wanaofatilia kwa ukaribu watakubaliana namimi makeke ya huyu kijana wa Kimakonde kutokea WCB Label. Kwa kipindi cha Mwaka 2018 hadi sasa amefanya kazi...
Naangalia sana kipindi chako kila nikipata nafasi hebu tupe sifa zetu wanawake,tunafanya mengi mazuri tu we kila siku mabaya tu kutunanga tu,dyadyaa tafadhali hebu siku moja moja ongelea mazuri...
Nyimbo namba moja Youtube Africa mwaka 2019 “Tetema” imefungiwa nchini Kenya.
Kinachoshangaza hii nyimbo ina zaidi ya miezi 6 tangia imetoka ila imekuja kupigwa ban leo, sijui hawa wakenya...
Naandika uzi huu baada ya kuona nyuzi nyingi huku zikizungumzia masuala ya label kama msaada wakati ni biashara.
Hebu fikiria, umekutana na msanii huko mtaani amejaliwa kipaji unaamua kuwekeza...
Hey Guys,,,
I hope mko poa
Nimeziangalia Tuzo za Afrimma na category zake zimenishangaza sana,
Kitu kilicho nishangaza ni kuona Omary Nyembo akiingia kwenye category tatu huku Harmonize na...
'I'll never stop missing you': George Michael's lover is pictured visiting the singer on Christmas Eve – just hours before he found the Wham! star's lifeless body at his £4m Oxfordshire home...
Ndugu zangu nayasema haya si kwa chuki au unafki , ila wakati mwingine inabidi tuseme kama funzo kwa jamii yetu inayotuzunguka. Na si vyema kujadili maisha ya mtu lakini huyu ninayemjadili ni...
Habar waku,
Kwa wenye mawazo ya haraka kama mm hamornize kazinguaa kinomaaa
Kosa1! Kuchanganya siasa kwenye kuimbaa
Hili limewakinaishaa wengi sanaa
Kosa2: Hili la kutoka wcb sio kosa ...
Bado sijaamini masikio yangu..hivi in kweli huyu jamaa kaamua kuokoka kweli au ndio maigizo ya kutafutiana kiki...kasema amezaliwa na kuwa kiumbe kipya
Swedish YouTuber, self-proclaimed comedian, game streamer, and controversy magnet Felix Arvid Ulf Kjellberg – better known by his online persona PewDiePie – has hit the 100 million subscribers...
Wapenzi wa WCB wote tukutane hapa tutete mawili matatu kuhusu huyu bwana mdogo Rajabu (Harmonize).
Binafsi nimesikishwa sana jinsi alivyobadilika, amejaa kiburi ,majivuni na kujiona yeye ndio...
nauona mpambano mkali sana huku WCB kule Konde Gang hapa Kings Music aisee Bongo Flava itakua mbali saaaaaaana! ni mwendo wa hits tu jamani. Ngoja tuone
Its been 19 years since you gone , as a number one fan , i would love to say that we miss you Tupac Amaru Shakur .... Music aint the same without Pac . Lets all join to celebrate his hip hop and...
habarini zenu wajameni
kwa wale wanaofuatilia mziki wa bongo fleva, na wa afrika mashariki kwa ujumla matumaini yangu ni kwamba mnamjua mtayarishaji wa beats maarufu kwa jina p-majani kinywele...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.