Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Aman iwe juu yenu wakuu Nimebahatika kuona video fupi ya msanii tumain ngerela AKA DUDUBAYA akiomba msamaha. Anaonekana kabisa kalazimishwa na watu fulan afanye hivyo, ukisikiliza vizur anaomba...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Kuna jamaa watatu nimewakuta wamechill somewhere, Kwa maongezi yao wanaonekana kuwa ni wadau wazuri sana wa tasnia ya burudani hapa mjini na ni watu wenye taarifa kuntu sana juu ya tasnia hii...
3 Reactions
30 Replies
4K Views
Mimi naanza ni jiji nzuri kama una pesa Wewe vp
1 Reactions
17 Replies
3K Views
Miongoni mwa upcoming starz wanaofanya poa kwenye gemu la mziki wa bongofleva in msanii 'Hanstone'. Kijana anafanya poa sana kama walivyo kina Marioo, Mbosso Khan, Whozu na wengine kama buku ila...
5 Reactions
50 Replies
14K Views
Wakuu sipo hapa kupigia debe hawa wasanii, ila kifupi ni kwamba wanajua sana... Ladha halisi ya muziki ipo THT, hawa inaonekana wanafunzwa hasa na wanaelewa wanachofanya. Kwa kifupi nimewasikiliza...
2 Reactions
16 Replies
5K Views
Jamaa ni mkongo mwenye hela zake ndo maana ikawa rahisi kumbadili dini irene kuwa sheila Ushahidi kadi ya mwaliko wa shughuli yenyewe. Soon picha ya bwana harusi itapatikana tu
6 Reactions
118 Replies
26K Views
Mrembo kutoka Rwanda anayejulikana kwa jina la shaddyboo ambaye anajihusisha na mambo ya urembo pia ni video vixen ndiye mrembo mpya wa msanii diamond ambaye anaziba pengo la wazazi wenzie na...
0 Reactions
43 Replies
11K Views
habari wadau.. nakumbuka babu tale ndie mwanzilishi na meneja wa tip top connection kina madee, keisha, tunda, dogo janja etc... naona amekimbia lebo yake anabanana WCB. sallam nakumbuka ni...
16 Reactions
60 Replies
11K Views
Mwanadada Irene Uwoya amesema ingawa Jaguar alishindwa kuja kuzungumza na wazazi wake kuhusu ndoa yao, bado wanawasiliana vizuri na kila kitu kipo sawa. Akizungumza na Mpekuzi, Irene amesema...
0 Reactions
48 Replies
12K Views
A.k.a Simba, kiukweli umetisha sana kwa jambo kuu moja, Binafsi nakupongeza sana Diamond Plutnum Mtoto wa Tandale. Jambo kuu lenyewe ni ili la kuwa makini sana katika Maisha yako, nazungumzia...
1 Reactions
29 Replies
4K Views
Wale Wakwe za kijana wetu huko Kwa majirani zetu wamekamatwa kwa tuhuma za kukwepa kodi za Mabilioni. Namuona kijana akirudisha timu bongo kimya-kimya.
6 Reactions
60 Replies
7K Views
wana jf. katika vijana wajanja dar es salaam Diamond kwa kweli uenda akawa number one kwa vile aliko toka mpaka alipo kwa kipindi cha miaka kumi amefanya mengi mno hadi kumchukulia bwana mtu...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hakuna mtu asiyejua kuwa Harmonize ndio alikuwa kipenzi cha Diamond platnumz, kila nyimbo walishirikishana na Diamond alikuwa akimpiga taff sana Lakini kipindi cha hivi karibuni watu wakaribu...
9 Reactions
62 Replies
16K Views
Tofauti na ile sikati tamaa,nishike mkono,weekend,na mziki nyingine zote anazotoa siku hizi sijui achia njia,relax ni utumbo mtupu anatakiwa atulie ajipange upya
4 Reactions
44 Replies
7K Views
AFUNGUKA KILA KITU DIAMOND Platinumz ni mwanamuziki mkubwa Afrika, inatajwa kuwa msanii huyo ana timu nzuri nyuma yake ambayo imemwezesha kupata mafanikio mengi makubwa. DIAMOND Ukiachana na...
12 Reactions
128 Replies
34K Views
Umofia Kwenu wana JF, Kwanza niwatakie heri katika siku hii ya kumbukumbu ya kifo cha Mwalimu JK original. ~Nilikuwa naangalia Movie ya set it off(1996) ya kina Vivica uwa naipenda sana...
1 Reactions
46 Replies
17K Views
Inaonekana watanzania wengi mnapenda kujifunza lakini ni uongo umetujaa tu. Mara nyingi unapotokea ubishani hususan katika masuala ya kimziki haswa kati ya team Diamond na team Kiba utasikia...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ukitaka mziki wa kuelimisha matafute Maalim Nash mc or Tamaduni music kwa ujumla mziki wao unaelimisha me nshaelimika kitambo kuanzia enzi za sunday school shuleni pia nlielimika na bado...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari Wakuu, najua kuna watu wanajua kupinga sana Ila HARMONIZE HANA KIPAJI PROMO INAMBEBA
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Back
Top Bottom