Ushauri kwa Diamond Platnumz

Maelau

JF-Expert Member
Apr 10, 2011
1,366
1,341
Mlio karibu na Diamond mshaurini aache kuimba live wakati wa show. Hawezi kabisa, sauti yake inakuwa nje ya tone kabisa ya music. Nimefuatilia comments za warundi kufuatia show yake Bujumbura. Wamemsifia kwa kujua kudansi huku wakiponda uimbaji. Matokeo yake, show zinazorota kwa kuwa mashabiki hawapati vile vionjo vya muziki wanavyovitarajia.
 
Chomoa na betri
 
Kuimba live ni kipaji kingine mkuu. Kuna jamaa anaitwa Christian Bella, hata Rubby nae wanajitahidi sana wakiwa kwenye maonyesho ya moja kwa moja.

Inawezekana pia akiwa jukwaani mzuka unakua mkubwa kiasi cha kumfanya asitoe sauti vizuri tofauti na akiwa katulia studio kurekodi.
 
Wapo wanaopenda sauti yake akiimba hivyo hivyo
So we Fanya mambo yako tafuta pesa ucje gongewa demu wako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom