Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Aliyekuwa mwigizaji wa Filamu nchini marehemu Hawa Hussein (Carina), amezikwa leo Aprili 19, 2025 katika makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam. Carina alifariki dunia Aprili 15, 2025 nchini...
4 Reactions
9 Replies
1K Views
Mbilia Bel akiimba kwa hisia kubwa sana moja ya nyimbo zake za enzi zileeeee,nafikiri mtakuwa mnazikumbuka. “bado niko fiti” si mnamuona wenyewe,sasa msikose kesho pale new world...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Amani iwe nanyi wapendwa, Dada yetu Wastara Juma leo amefunga ndoa ya kiislam na kufanya idadi yake ya kuolewa kufika mara saba. Dada huyo ambaye juzi tumetoka kumchangia pesa za matitabu...
23 Reactions
280 Replies
37K Views
Najivunia sana kumfahamu huyu mwamba kati ya watu wachache wenye talent ya kufanya muziki wa asili as long wewe una sikio la muziki ukimsikiliza tu kwa mara ya kwanza utagundua mwamba ni level...
0 Reactions
2 Replies
431 Views
Dada wa Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu, Sunna Sepetu (37) ametiwa mbaroni mjini Worcester, Massachusetts nchini Marekani baada ya kukutwa na hatia ya kula njama ya utakatishaji fedha zilizotokana...
10 Reactions
92 Replies
9K Views
Ni kwa masikitiko makubwa kwa wana tasnia wa miziki ya Kongo, mwanamuziki REGIS TOUBA hatunae tena, amefariki mapema leo akiwa kwa Congo Brazzavile. Atakumbukwa kama sehemu ya Muasisi wa kundi la...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Msanii wa kondegang anaejulikana kwa jina la IBRA ambaye yupo chini ya msanii harmonize amefunguka kuwa mpaka kufika hapa boss wake amewekeza mil 6 tu na huwa anapatapa show nyingi za Dola 3000...
12 Reactions
36 Replies
3K Views
MAREKANI: Rapa na Mfanyabiashara, Sean "Diddy" Combs anatarajiwa kupandishwa Kizimbani kujibu mashtaka matatu aliyofunguliwa ambayo ni ulaghai, biashara ya ngono kwa kutumia nguvu, Usafirishaji...
14 Reactions
145 Replies
13K Views
Tarehe 16-09-2024 SEAN LOVE COMBS maarufu kama P DIDDY alikamatwa huko MANHATTAN jijini NEW YORK akihusishwa na makosa kadhaa ambayo ni kumiliki kundi kubwa la uharifu kusafirisha wanawake kingono...
5 Reactions
20 Replies
5K Views
Msanii wa Filamu na Mwanamitindo Maarufu Nchini Tanzania ametangaza ujio wa Tamasha la Rangi Zinaongea litakalo fanyika Tarehe 23/05/2025 katika ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es salaam ikiwa...
3 Reactions
21 Replies
1K Views
Wadau,hii picha nimeingalia mara tano nakujikuta kana macho yangu yananiambia huyu ni gwiji la Fashiooonnn(kwa sauti ya Deo Kitama) Ali Remtulla...nimejikuta nashangazwa na hilo pozi lake mbaya...
10 Reactions
238 Replies
40K Views
Nimesikiliza wimbo mpya wa msanii wa muziki wa kizazi kipya Emmanuel Elibariki almaarufu ‘’Nay wa Mitego’’ unaojulikana kwa jina la ‘’Amkeni’’. Wimbo huo kimsingi una baadhi ya maudhui ambayo...
5 Reactions
171 Replies
19K Views
Hawa ni wale wasanii ambao bado hawajaukubali ukweli na kila wakihojiwa wanasema wanaanda album au kuna kazi zao zinakuja mashabiki wasikilizie tu; 1. Q Chief 2. TID 3. Baraka da Prince 4. Young...
11 Reactions
30 Replies
3K Views
Kuimba mwenyewe, beat mwenyewe pia.
1 Reactions
7 Replies
442 Views
Kiungo mkabaji wa Yanga, Khalid Aucho, ameweka wazi maisha yake binafsi kuwa hajaoa mpaka sasa, lakini anataka mwanamke ambaye atampenda kutoka moyoni na si kwa sababu ya pesa zake au umaarufu...
4 Reactions
53 Replies
3K Views
Siku hizi hakuna mziki ni bange zinaimba tu, utakachoishia kuona kwenye runinga yako ni makalio sasa sijajua yanaweza kumpa mtu elimu gani Sijui itakuwa dunia ya aina gani ya watu kuoneshana...
8 Reactions
43 Replies
2K Views
Nina rafiki zangu identical twins,walizaliwa wanafanana kila kitu, Ilikuwa ngumu kuwatofautisha Kupanga ni kuchagua,Kurwa aliamua kusoma sasa yupo TRA Doto ni dalali tu mtaani Sasa tofauti yao...
15 Reactions
60 Replies
4K Views
Kama kuna bibi wa ovyo nchini ,Kajala yumo,anaulizwa kuwani kiungo gani kwenyemwili wake anakipenda zaidi anajibu eti makalio yake. P Funky ana roho ngumu sana,enzi za ujana wake kakimbiza sana...
26 Reactions
129 Replies
7K Views
Nay wa Mitego amekanusha madai ya Mange Kimambi kwamba amelipwa Milioni 100 na muda wowote atatangaza kuhamia CCM "Unaona mimi ni wa million 100 kweli.?! career yangu ina thamani kubwa sanaaaa...
10 Reactions
74 Replies
6K Views
#Porojozabongo "Usipojua kutafuta, utatafuta sababu ya kutokutafuta." "Unaelewa hiyo methali?" anauliza bongo, akiinamisha kichwa katika draft "Bado naitafakari," akajibu mgogo, akimtazama...
4 Reactions
5 Replies
341 Views
Back
Top Bottom