Wimbo mpya wa Ali Kiba 'KADOGO': Toa Maoni na ushauri wako hapa


Papaa Mobimba

Papaa Mobimba

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2018
Messages
390
Likes
1,180
Points
180
Papaa Mobimba

Papaa Mobimba

JF-Expert Member
Joined Jan 27, 2018
390 1,180 180
Msanii anayejitabainisha kama King wa Muziki Tanzania, Ali Kiba ametambulisha ngoma yake mpya rasmi leo akiwa kwenye kituo cha Redio kinachopenda kumbeba kwa gharama yoyote 'Clouds FM'.

Ngoma hiyo inakwenda kwa jina la 'KADOGO' na inatarajiwa kupakiwa kwenye mtandao wa YouTube leo ALHAMISI kama masharti ya mtaalam yanavyomtaka.

Kwa wale msiojua ni kwamba Ali Kiba ana masharti ya kuweka nyimbo zake Youtube siku za ALHAMISI tu na yeye amewahi kukiri baada ya kupakia wimbo wa ''HELA'' na kushambuliwa na mashabiki zake kutoa ngoma ya hovyo.

Katika utetezi wake alisema alikosea masharti labda ndio maana alishambuliwa sana, na baadaye aliipakia upya ngoma hiyo siku ya ALHAMISI na kelele hazikusikika sana.

Kila La kheri King Kiba. Yooooo... Pop it up ''Papiri papiri'

 
aretasludovick

aretasludovick

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2015
Messages
5,348
Likes
6,060
Points
280
aretasludovick

aretasludovick

JF-Expert Member
Joined Aug 8, 2015
5,348 6,060 280
Maoni yangu aache kushika mawili maana moja lilishamponyoka tayari


Aendelee na team yake ya Tanga
 
sir venance

sir venance

Senior Member
Joined
Oct 26, 2017
Messages
149
Likes
205
Points
60
sir venance

sir venance

Senior Member
Joined Oct 26, 2017
149 205 60
Daah jamaa ana sapoti kubwa sana ya mashabiki tatzo cjui anakwama wapi,wimbo wa kawaida
 
jaluo jr

jaluo jr

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2018
Messages
218
Likes
344
Points
80
jaluo jr

jaluo jr

JF-Expert Member
Joined Feb 10, 2018
218 344 80
Kiiiiing himself on fireeeeèe
 
joseph1989

joseph1989

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2014
Messages
2,861
Likes
5,170
Points
280
joseph1989

joseph1989

JF-Expert Member
Joined May 4, 2014
2,861 5,170 280
Mwenye audio aiweke.
 
donga

donga

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2017
Messages
1,073
Likes
1,087
Points
280
donga

donga

JF-Expert Member
Joined Sep 13, 2017
1,073 1,087 280
anataka acheze mpira na aimbe dah bongo kuna vituko hivi nani aliwahi fanya vitu kama hivi dunian
 
Shunie

Shunie

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2016
Messages
108,584
Likes
306,728
Points
280
Shunie

Shunie

JF-Expert Member
Joined Aug 14, 2016
108,584 306,728 280
Wenye team yenu mkuje hukuu muongelee kadogo
 
gp1rooney

gp1rooney

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2015
Messages
2,230
Likes
1,609
Points
280
gp1rooney

gp1rooney

JF-Expert Member
Joined Jan 16, 2015
2,230 1,609 280
anataka acheze mpira na aimbe dah bongo kuna vituko hivi nani aliwahi fanya vitu kama hivi dunian
Ukiishi kwa mentality io nani alifanya una tatizo mahali
 
donga

donga

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2017
Messages
1,073
Likes
1,087
Points
280
donga

donga

JF-Expert Member
Joined Sep 13, 2017
1,073 1,087 280
True,ila Ki business wise anacheza vzuri karata zake anaimba,na kwnye team anapromote brand zake
sasa anaimba wakati hana ngoa soko inayotrend zaidi ya miezi miwili sasa
 
TANZANIA NCHIYANGU

TANZANIA NCHIYANGU

JF-Expert Member
Joined
May 13, 2017
Messages
663
Likes
781
Points
180
TANZANIA NCHIYANGU

TANZANIA NCHIYANGU

JF-Expert Member
Joined May 13, 2017
663 781 180
Maoni yangu aache kushika mawili maana moja lilishamponyoka tayari


Aendelee na team yake ya Tanga
sisi washabiki wake ndo tunapenda hicho anachokifanya...so usimpangie cha kushika...kawapangie wale waimba nyegeee
 
donga

donga

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2017
Messages
1,073
Likes
1,087
Points
280
donga

donga

JF-Expert Member
Joined Sep 13, 2017
1,073 1,087 280
Umemsikiliza kwenye interview yake leo...mpira anacheza sababu anaupenda na amesema halipwi chochote kwenye mpira
hakuna biashara ya bure ww jezi za costal kuandikwa mofaya ana percentage yake sio lazma apate pesa kupitia mshahara
 
donga

donga

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2017
Messages
1,073
Likes
1,087
Points
280
donga

donga

JF-Expert Member
Joined Sep 13, 2017
1,073 1,087 280
a
asamoh ni footballer kaangalie hata wikipedia wasifu wake kuimba anafanya kama funny tyu kama ivo mbna ramos nae anavinyimbo ila anajulikana kama footballer nyimbo sio biashara
 

Forum statistics

Threads 1,273,483
Members 490,428
Posts 30,482,924