Harmonize atoa ngoma ya kwanza tokea ajiengue WASAFI. Ashindwa kufikisha views 100K ndani ya masaa 10

mwanamwana

JF-Expert Member
Aug 1, 2011
1,074
4,099
Msanii Harmonize aka Konde Boy ametoa ngoma mpya akiwa na Eddy Kenzo kutoka Uganda inayoitwa 'Inabana'. Ikumbukwe hii ngoma yake ya kwanza tokea akiwa msanii Solo, hivyo kionjo cha Wasafi kama ilivyozeoeleka hakipo, kinasikika kionjo cha Dully Sykes 'ooh nice, This is Serious'. Pia video amefanya kwa Hanscana.

Video mpaka sasa tokea iwekwe ina masaa 10 na imetazamwa mara 65,000 (65K)

Mimi nimependa hapa ' ....Fundi kakosea kuishona, hata kichwa hakiezi ingia ...INABANA...🎤🎼🎹🎶

Angalia kichupa hapa

 
Eddy Kenzo X Harmonize hiyo X maana yake nyimbo ya Harmonize na Eddy Kenzo.Kama ingekuwa Eddy Kenzo featuring Harmonize ndio nyimbo ingekuwa ya Eddy Kenzo ila Harmonize kashirikishwa.
sawa apambane na hali yake.
 
Nakuunga sana mkono kwenye hili.Nawachukia wasafi na nyimbo zao kwasababu hii.
Pia weusi ukimuondoa Gnako wanamatus sana hasa niki wa2.
Na kaka yake Joh siku hiz nae anateleza kwa kas katika hil.kwakwel i hate the habit
Bora yeye hatukani wanawake kisa kupata views.
 
Back
Top Bottom