WCB kuna mdudu si bure

Harmonize baada ya kuondoka Wcb Kwa muda mfupi tu matokeo yake yameeanza kuonekana zile One Million Viewers Kwa siku Hazipo tena Nachojiuliza pale WCB kuna mdudu gani Mbona Wakiondoka wanapotea Nimempigia Simu Msemaji Mkuu Maalumu Wa WCB cha ajabu hajapatikana
lini harmonize kaondoma WCB?
 
Bado twasubil nchaw ya kutoka Ntwala!¡
tapatalk_1567196151320.jpeg
 
Huu ujinga wa wanachama wa freemason peleka huko fb.
Hapa ni jukwaa la siasa

Back
Top Bottom