Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

FIESTA kwa sasa inaweza isiwe na mvuto sababu kwanza wasanii wakubwa wa Tanzania hawataperform Alikiba Diamond Vanessa Navy Kenzo la pili FIESTA ilikuwa zamani mnasikilizia nani msanii Mkubwa...
2 Reactions
19 Replies
4K Views
Shikamoni wakubwa, wadogo malhaba!! Huu ndyo mwonekano mpya wa mwanamuziki Vanessa Mdee. Toa koment yako juu ya uvaaji wake, je ni utandawazi au ni ushamba wangu?
0 Reactions
136 Replies
29K Views
Hello wanajukwaa,kama kichwa kinavyojieleza hapo juu,napenda kuthibitisha kwamba bila Diamond platinumz instagram Tanzania ingekuwa imepoa sana,kwa nini nasema hivyo?hebu angalia hizi facts...
4 Reactions
45 Replies
5K Views
aliyekua mtangazaji wa singeli na mchekeshaji kicheko achukuliwa na mahasimu wao clouds fm hawa jamaa sijui lini wataacha maugomvi yao ya kuchukuliana watangazaji
8 Reactions
173 Replies
32K Views
Marlaw ni msanii wa Kiume ninayemkubali sana hapa Tanzania aisee maana anajua sana kuimba anajua kupanga mashairi yake aiseee huyu mwanaume, na wala hana makuu kabisa Sasa hebu angalia na...
4 Reactions
24 Replies
49K Views
MTANGAZAJI maarufu Bongo, Ben Kinyaiya siku ya leo Jumamosi afunga ndoa ya kiserikali na mchumba wake wa siku nyingi PICHA PAMOJA : Ben Kinyaiya na Mkewe Katika Private party yao baada ya kufunga...
16 Reactions
421 Replies
106K Views
Amesema Diamond kwenye kipindi cha Block 89 wasafi Fm.
13 Reactions
876 Replies
81K Views
Wadau wajukwaa hili, Recently tumeona jinsi kijana wetu Diamond anavyofanya vizuri kwenye music, hapa nyumbani na hata kimataifa. Hebu tuseme ukweli bila Chuki... Diamond Platinum na Chris...
1 Reactions
168 Replies
26K Views
Hey Mapeople,,, Nimekuwa nikimfuatilia Roma na Stamina jinsi wanavyo Fanya mziki wao ni wazi kuwa wanafanya mziki kwa ajili ya Tigo fiesta na hawana malengo yoyote juu ya mziki wao. Kama ni...
2 Reactions
28 Replies
6K Views
Diamond amepata tena dili la kusaini miaka miwili na nusu na kampuni ya kuuza sabuni ya niceone baada ya kupita wiki kama mbili toka asaini dili la kampuni kubwa ya kubeti na Hadi sasa hivi...
4 Reactions
28 Replies
8K Views
Unajua inasikitisha mtu kuwa hujui na kujifanya kuwa ndio wewe unajua sana, hapa namzungumzia kile kinachoendelea kwa Harmonize na Diamomd hawa jamaa wameonekana na walinzi wengi na baadhi ya...
17 Reactions
49 Replies
7K Views
Tunakwenda kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa wananchi wakiwa wameogopeshwa , wametishwa hawana raha. Binafsi nimeshuhudia viongozi wa kuteuliwa na Mh Raisi hasa Ma DC wakiwa wanawatisha...
0 Reactions
1 Replies
709 Views
Huenda dunia ya muziki ikampoteza kabisa rapper 6ix9ine, Imeripotiwa kuwa baada ya kutoa ushahidi Mahakamani dhidi ya kundi lake la "Nine Trey Gang" ataingia kwenye utaratibu maalumu wa kulindwa...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Kwa kila episode moja unayomuona The Rock, katika series ya "Ballers", anapokea malipo si chini ya Bilioni 1.6 Tsh. Na kwa mwaka huu pekee hadi sasa anashikilia namba moja kwa waigizaji...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Bado sijaithubitisha rasmi ila nimepata Kudokezwa na Mtu aliyeko Jikoni na pia karibu na Mmoja wao hapo kuwa huu Uhusiano umeshavunjika rasmi japo taratibu zote za Harusi ambayo ilipangwa kuwa ya...
0 Reactions
33 Replies
7K Views
Siku chache baada ya Wolper kutamka kuwa Sara demu mzungu wa Konde boy ni mlezi wa wana,hii imekuna kufuatia uwepo wa tetesi za mzungu huyo kushare maumbile na Baunsa Mwarabu fighter, Hatimaye...
5 Reactions
183 Replies
27K Views
Huyu kaka inaonekana Flola alikuwa akimcontrol pakubwa sana, kipindi yupo na flora alikuwa anavutia sana kitabia lakini sasa kaka anatukana hadharani na kutoa mada za ajabu ajabu mitandaoni
1 Reactions
26 Replies
5K Views
Aise me naona huyu MD mpya ni mbovu sana. Tangu aingie yeye ndo vifurushi tunaibiwa balaa, mimi personally nimeibiwa vifurushi nimelalamika wee hamna msaaada. Uozo starts from the top, mbona mwaka...
7 Reactions
45 Replies
6K Views
Mwimbaji wa miziki ya miondoko ya Hip Hop, Nick Minaj amewashangaza mashabiki wake hapo jana baada ya kutangaza kuwa anastaafu biashara ya Muziki ili aweze kuanzisha familia Minaj (36) ametoa...
4 Reactions
35 Replies
6K Views
Au ni show off za baba wachungaji zinaigwa?
8 Reactions
99 Replies
15K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…