Nani Mkali kati ya Diamond na Chris Brown?

Sandeni

JF-Expert Member
Apr 25, 2013
666
298
Wadau wajukwaa hili,
Recently tumeona jinsi kijana wetu Diamond anavyofanya vizuri kwenye music, hapa nyumbani na hata kimataifa.

Hebu tuseme ukweli bila Chuki...

Diamond Platinum na Chris Brown nani mkali au yuko vizuri kwenye maswala yote yakuimba na kucheza?
 
Huo mfano wake sawa na kusema eti samata na mess wa Barcelona nan zaid ya mwenzake nijibu rahis mtoto wa chekechea anajibu hilo

How comes...hapo wewe ndio haupo sahihi, utamfananishaje Samatha na Messi? Messi anamataji mengi kisoka.

mambo yakuimba ni tofauti kidogo, yanahusu sauti na kucheza, who is good?
 
Ni swala ambalo haliwezekan maana mess ni mchezaj mwenye kiwango cha juu sana hata ukitoa hayo mataj bdo yupo juu,sasa diamond atampitaje brown kama mtoto ndo kwanza anatambaa
 
Ni swala ambalo haliwezekan maana mess ni mchezaj mwenye kiwango cha juu sana hata ukitoa hayo mataj bdo yupo juu,sasa diamond atampitaje brown kama mtoto ndo kwanza anatambaa

ishu hapa ni sauti yakuimba mkuu...
 
Wadau wajukwaa hili,
Recently tumeona jinsi kijana wetu Diamond anavyofanya vizuri kwenye music, hapa nyumbani na hata kimataifa.

Hebu tuseme ukweli bila Chuki...

Diamond Platinum na Chris Brown nani mkali au yuko vizuri kwenye maswala yote yakuimba na kucheza?
Mkuu hebu tafuta m2 wa kumlinganisha na Brown aseeee
 
Ni ndoto nzuri Mkuu siku moja tutawalingalisha tu maana kijana anajitahidi sana
 
Back
Top Bottom