Diamond Platnumz apata dili nono tena la kutangaza sabuni ya Nice One

Hziyech22

JF-Expert Member
Jun 8, 2019
13,559
18,881
Diamond amepata tena dili la kusaini miaka miwili na nusu na kampuni ya kuuza sabuni ya niceone baada ya kupita wiki kama mbili toka asaini dili la kampuni kubwa ya kubeti na Hadi sasa hivi kufikisha kuwa balozi wa makampuni 9 ndani ya mwaka Huu.
 
SHOW OFF zimempa deal Parimatch betting,Pepsi na leo Nice One ndani ya mwaka huu tu wa 2019.
 
tumblr_m0cdbrqqfb1rqfhi2o1_250-gif.1176883.gif
Numbisa
Pita huku uone.
 
Kanyonywa sana huyu kijana...
mikataba kama ya kina chief Mangungo mibaya sana....
maana unaliwa huku unaona....
noma sana...
Ebu tupe ushaidi ya yeye kunyonywa? Na utupe hata sehemu aliyosema harmonize ananyonywa na WCB?
 
Hivi huyu bwana mdogo products zake za karanga na unyunyu zina perform vipi sokoni?
 
Diamond amepata tena dili la kusaini miaka miwili na nusu na kampuni ya kuuza sabuni ya niceone baada ya kupita wiki kama mbili toka asaini dili la kampuni kubwa ya kubeti na Hadi sasa hivi kufikisha kuwa balozi wa makampuni 9 ndani ya mwaka Huu.
harmonize je ni balozi wa nini?
 
Back
Top Bottom