Wadau hivi ni kweli katemwa pale Mawingu FM maana naona hata ngoma zake hazipigwi sana
Hata hii ngoma mpya ya Mshumaa hakwenda kuiachia pale XXL kama ilivyo kawaida yake
Je swala hili lina...
Star wa filamu nchini Vicent Kigosi "Ray" amesema kuwa yeye ana pesa na mali nyingi na hakuna msanii yeyote wa Tanzania awe wa filamu au muziki anayemfikia sema hapendi tu kujitangaza kama...
Saa chache baada ya msanii, Naseeb Abdul maarufu Diamond Platnumz kuwaalika Harmonize na Ali Kiba katika tamasha la Wasafi, wawili hao wameibuka na kumjibu.
Wakati Ali Kiba akimtaka Diamond...
Baada ya Wasafi festival kuiteka Dar, Jumamosi kwa tamasha lililofanikiwa kwa kiasi kikubwa na kuwa gumzo kila kona. clouds ikimtumia soudy brown akiwa na matarumbeta wanawashawishi watu maeneo ya...
Msanii wa muziki wa bongo fleva Whozuamesaini mkataba na kampuni ya entertainment iitwayo Too Much Money inayoongozwa na kaka yake Frank pamoja na Fred yenye ofisi zake jijini Guangzhou, China...
Naandika nikiamini kwa namna moja au nyingine ushauri huu utamfikia huyu kijana Diamond. Yeyote asiye na maelewano na wazazi/mzazi wake pia inamuhusu. Na wazazi wanaotelekeza vizazi vyao pia...
Tunaokumbuka, tunakumbuka.
Muziki na ushindani wa kweli ulikuwa enzi za Alikiba na Marlaw. Ni miaka ya 2009 kurudi nyuma huko. Kabla ya Belle 9 na kina Ben Pol kutengenezwa kimkakati kisha kuja...
Mwanamuziki wa kutoka Nairobi Jackson Ngechu Makini maarufu kama 'Prezzo' anadaiwa kufikishwa katika Hospitali ya Karen baada ya kudungwa sindano yenye dawa za kulevya kisha kubakwa na kundi la...
Jamaa no mbunifu sana. Wimbo japo kuna watu wanajaribu kuudis but tayari ni gumzo kila kona ya hii nchi. Vibanda vyote vinavyoingiza nyimbo kwenye simu, memori card, na hata flash siku mbili hizi...
Leo wakati diamond na crew nzima ya wasafi pamoja na baadhi ya wasanii wakifanya press conference ya kutoa shukrani zao kwa mashabiki kwa kuudhuria kwa wingi Sana pamoja na wadhamini waliosponsor...
Mdogo Wangu Ally Kiba acha uzazwa, umoja ni nguvu. Wizkid na mafanikio yote yuko humble na ameweza kuonesha upendo kwa kuimba na Diamond Platnumz lakini wewe unajiona mkubwa kuliko Wizkid. Kaka...
Mapenzi bwana, mwingizaji maarufu Ebitoke amevamia mkutano aliofanya mpenzi wake wa zamani bwana Mlela akimtuhumu kumlaghai
Katika purukushani hizo Ebitoke ambaye alifuatana na kaka yake,Kaka wa...
Mbunge wa Chalinze Ridhiwani Kikwete ameponda Diamond na Ali Kiba kuwa na bifu akisema zinaweza kusababisha madhara makubwa akitolea mfano bifu ya Tupac na notorious big
Pia amesema mzee wake...
Mimi ni mmoja kati ya watu wanaovutiwa sana na video nzuri za muziki hasa hapa bongo na Africa kwa ujumla. Video zilizopangiliwa kuanzia story au ubora wa picha nk.
Kwangu hawa ni director's...
Najua ni sehemu ya siasa lakini Mods we need something for a change at least for a weekend then mnaweza kuihamisha jumapili ikisha
Haya watoto wa mjini hebu tuambieni kuna sehemu inachai nzuri...
Nadhani kwa tuliyoyaona jana pale viwanja vya posta kijitonyama ni dhahiri kusema umefika sasa wakat wasanii wafaidike na kazi zao na waishi maisha halisi,wame fake imetosha ni wakati wa wao...
Niliangalia clip ya Ebitoke akivamia press conference ya Mlela nimewaona hawa ndugu zetu hili suala wamelipanga makusudi ili wapate kiki.
Hivi hawa bongo movies kwanini wasitumie nguvu zao...