Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nyandu Tozi aka Dogo Hamidu unasema??

Discussion in 'Celebrities Forum' started by King Kong III, Feb 20, 2012.

 1. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #1
  Feb 20, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 24,381
  Likes Received: 1,016
  Trophy Points: 280
  "Wanao-sniff na Ku-smoke me ndio nawa-control"

  Kweli dogo umeamua kuanika kazi yako iliyokutoa mpaka ukaanzisha duka 26 hapo kindondoni studio!
   
 2. F

  Fraddle b JF-Expert Member

  #2
  Feb 20, 2012
  Joined: Nov 20, 2011
  Messages: 226
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nyandu toz .a.k.a dogo hamidu? Hana jipya kwanh hyo cfa?
   
 3. Muuza Sura

  Muuza Sura JF-Expert Member

  #3
  Feb 20, 2012
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 1,986
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  Tushajua unamjua kiundani!potezea basi!manigga wanahustle!get rich or die tryin!
   
 4. s

  shosti JF-Expert Member

  #4
  Feb 20, 2012
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,960
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  hivi kumbe ni siri eeee....ni suala la muda tu atakiona kimbembe!
   
 5. Tonny

  Tonny JF-Expert Member

  #5
  Feb 20, 2012
  Joined: Sep 13, 2010
  Messages: 217
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  acha woga, mbona mkuu wa kaya nae sana tu
   
 6. Muuza Sura

  Muuza Sura JF-Expert Member

  #6
  Feb 20, 2012
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 1,986
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  Shosti si kwa nchi hii!dogo ni pusher like!tangu ukae kinondoni ally moko au chacha tangu wavume mpaka wanakuwa tengeru tee ushasikia wamepata kimbembe?dogo anacheza na virobo tu wazee wa ndonga wapo na hawakamatwi!get rich or die tryin!!!!
   
 7. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #7
  Feb 20, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,026
  Likes Received: 322
  Trophy Points: 180
  Kweli maisha ni zaidi ya ujuavyo. sasa hivi dogo hamidu anamtuma mr.blue kama mtoto wake vile dah!..pesa ni kitu kingine. eti "ulikuwa wapi hadi sa hizi eeh? si ninakuuliza wewe blue". hahahaaa...!!
   
 8. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #8
  Feb 20, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 24,381
  Likes Received: 1,016
  Trophy Points: 280
  Hapo mkwajuni ni nomaaaaa nimekaa sana hapo yani madogo wamepinda magetoni ni kamali mavitu ya wizi yapo magetoni yani ikabidi niame tu mambo hayo nikawaachia kina man banyenda wayaendeleze!
   
 9. s

  shosti JF-Expert Member

  #9
  Feb 21, 2012
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,960
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  ila kweli aisee kina Ali Moja da mpaka huzuni kuongea...
   
 10. Muuza Sura

  Muuza Sura JF-Expert Member

  #10
  Feb 21, 2012
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 1,986
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  Acha tu wangu!!!ukizoea biashara hii ya faida huwezi fanya biashara yeyote!hao wakali kila wiki wanapokea watu na mzigo ukiwacheck leo!dah....maisha kweli duara ukifanya mchezo unarudi palepale ulipokuwepo!!!!kuna watu walifikia hatua ya kujiita rais wa kinondoni!sasa hivi wamekojoa mbaya wanaficha sura zao!
   
 11. Mkare_wenu

  Mkare_wenu JF-Expert Member

  #11
  May 29, 2013
  Joined: Mar 11, 2011
  Messages: 1,704
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Mwambieni aendelee tu kuwacontrol.

  #R .I.P NGWEA
   
Loading...