Ebitoke amletea fujo Yusuph Mlela kwenye mkutano, mabaunsa wamdhibiti

IKIRIRI

JF-Expert Member
Jan 14, 2018
2,734
3,017
Mapenzi bwana, mwingizaji maarufu Ebitoke amevamia mkutano aliofanya mpenzi wake wa zamani bwana Mlela akimtuhumu kumlaghai

Katika purukushani hizo Ebitoke ambaye alifuatana na kaka yake,Kaka wa Ebitoke anamtuhumu bwana Mlela kumwaribia maisha dada yake.

Hata hivyo waliondolewa ukumbini na mabaunsa.

Mbaya zaidi ametoa matusi mazito adharani,nitashangaa sana BASATA na TCRA wakikaa kimya katika hili.

Pia nadhani mnaona umuhimu wa kuwa na mlinzi.,coz bila wao hali ingekuwa tete.
 
Huyo kaka mtu ni mpumbavu wa mwisho kabisa duniani, yaani anamsindikiza dada yake kufanya fujo udangani....!!??
Nimejikuta nawaza mara kadhaa kama huyo kaka wa Ebitoke ni mwanaume kamili ama tayari nayeye anapaka poda...
Aiseee... tatizo sio dyudyu ,huyo mlela kachukua pesa mingi sana za huyo ebitoke,si unajua mapenzini tena dada alikuwa amevunja akaunti,kumbe jamaa alikuwa anamtumia tu.ndo maana muhaya ana hasira,( nasikia kuna kahela ebi aliwekeza kwenye project fulani ambayo huyo marioo aliomba assist.sasa baada ya kufanikiwa kamgeuka. Ni kesi inayofanana na ile sisi wanaume inatupata ile ya kusomesha mchumba.
 
Arudishe pesa za mtoto wa watu, mjini kaja muda mrefu alikuwa anafanya nini? Kama kweli Ebitoke mshitaki tu arudishiwe mpunga wake. Au mloge tu kwani nini bana
 
kw
Aiseee... tatizo sio dyudyu ,huyo mlela kachukua pesa mingi sana za huyo ebitoke,si unajua mapenzini tena dada alikuwa amevunja akaunti,kumbe jamaa alikuwa anamtumia tu.ndo maana muhaya ana hasira,( nasikia kuna kahela ebi aliwekeza kwenye project fulani ambayo huyo marioo aliomba assist.sasa baada ya kufanikiwa kamgeuka. Ni kesi inayofanana na ile sisi wanaume inatupata ile ya kusomesha mchumba.
kwahiyo unataka kusema Mlela kalipizia kisasi kwa njia nyingine.
 
Aiseee... tatizo sio dyudyu ,huyo mlela kachukua pesa mingi sana za huyo ebitoke,si unajua mapenzini tena dada alikuwa amevunja akaunti,kumbe jamaa alikuwa anamtumia tu.ndo maana muhaya ana hasira,( nasikia kuna kahela ebi aliwekeza kwenye project fulani ambayo huyo marioo aliomba assist.sasa baada ya kufanikiwa kamgeuka. Ni kesi inayofanana na ile sisi wanaume inatupata ile ya kusomesha mchumba.
Ni sawa mkuu, lakini mimi sioni kama kaka mtu hapo anayo nafasi ya kuingilia mifarakano ya X wa dada yake.
Kumbuka wakati wanapeana utam hadi binti akakubali kutoa fungu sote hatukuwepo na hakuna mwenye anajuwa wawili hao waliongea nini.
 
Hii itakua bongo movie pia. Lakini kama ni kweli basi huyo dogo ana matatizo, analilia dyudyu hadi kwa presser?

Kama ni kweli that young lady has tarnished her brand image for good, hatakapata tena matangazo wala u- brand ambassador tena.

Wasanii wetu wafundishwe jinsi ya ku-protect reputations zao at any costs. Kwenye kitabu cha 48 rules of power Robert Greene kwenye no 5 anasema, guard your reputation with your life, much depends on reputation.

Haka katoto kama ni kweli kanategemea nani tena atakuja kukapa deals za kazi huku hakawezi kudhibiti mihemuko yake ya mapenzi, hakawezi kujizuia. Shule ndogo na exposure ndogo ni matatizo.
 
Back
Top Bottom