Fiesta Ina hali mbaya

Hziyech22

JF-Expert Member
Jun 8, 2019
13,827
19,226
Baada ya Wasafi festival kuiteka Dar, Jumamosi kwa tamasha lililofanikiwa kwa kiasi kikubwa na kuwa gumzo kila kona. clouds ikimtumia soudy brown akiwa na matarumbeta wanawashawishi watu maeneo ya kijimboni kusikiliza clouds.

Ukiachana na Hilo clouds wameanzisha slogani ya Kupinga 100% mziki wa ndani na wanaanza kuanzia leo mpaka siku ya fiesta. Nimepitia kwenye comment kwenye mtandao wao wa Facebook watu wengi wamewauliza Kama mnapiga ngoma za ndani kwa asilimia 100 kwani Diamond na Lady Jay Dee ni wasanii kutoka Iraq?
 
Hawajitambui wana chuki na clouds wakati Kusaga ndo mnufaika wa kote
Haijarishi kusaga yupo wasafi au lah,
Tunachotaka ni hiyo media iliyoua na kuwapoteza wasanii wa Tanzania wengi kwa bifu zao za hovyo kisa wapate kujinufaisha na wao wa experience maumivu,and not a long way to go,we will have a discussion about how they died.
 
Clouds N wasafi, baba mmoja hao.
Wasafi empire ni Mali ya Diamond,dunia yote inajua hivyo kasoro Wewe,
Na wasafi ni brand yenye branches tofauti tofauti
Mfano
WCB wasafi lebo 100% ni yeye
Zoom production 100% ni yeye
Wasafi media 45% zake zingine 53% na 2% kawapa wengine
Mmiliki wa brand ni diamond huyo mke wa kusaga ni major shareholder wa wasafi TV tu.
Cloud's ni family company ya kina kusaga hatujui share zake na ananufaika Vipi,
Pia pale Cloud's kuna shareholders wengine.
 
Kwa hoja hizo HUNA hujualo.

Chibu share zake pale hazifiki hata 30%
Angalia vizuri
tapatalk_1571488160208.jpeg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom