Nani Mkali wa Voice Over..?

mayowela

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2014
Messages
926
Points
1,000

mayowela

JF-Expert Member
Joined Nov 2, 2014
926 1,000
kwenye Media Industry kuna vitu vingi vyakufanya, si lazima uwe mtangazaji, mhariri, mzalisha vipindi au vinginevyo, kuna kitu kinaitwa Voice over, uingizaji wa sauti kwenye matangazo hasa ya redio au TV,

Kwa sasa nchini kwetu hii kitu imekuwa kubwa sana na kuna watu wengi wanapiga pesa kwa hii kitu, pia kuna redio zimeajiri watu kwa kazi hizi tu, kufanya Drop, jingle, immaging etc,

mtaji wa hii kitu ni Sauti tu na usomaji mzuri wa script mbwe mbwe zingine zinafanywa na producers,

kila mtu ana aina ya matangazo anayofanya, sasa kwa sasa TZ nani ni mkali..?

mfano wa watu hao ni kama,
-Antonio Nugaz
-Reuben Ndege (ncha kali)
-Raymond Mshana
-Ezden Jumanne
-Hyper man HK
-Gardner G Habash
-Sandu G (Kidbwoy)
-Philip Mwihava
-Ephraim Kibonde r i p
Tira pia yuko vizuri kwenye classified

wengine huwa siwafahamu kwa majina, kuna yule bwana sauti yake huwa ipi TV1, mtu mbaya sana yule

CONCLUSION: ML CHRIS ndio mkali kwa sasa na bado hajapata mpinzani
 

Forum statistics

Threads 1,344,741
Members 515,991
Posts 32,833,802
Top