Happy 39th Birthday Dully Sykes

Chinga One

JF-Expert Member
May 7, 2013
11,450
12,316
Screenshot_20191204-185236.png
Mwimbaji Hodari wa Bongofleva Dully Sykes @princedullysykes leo December 4 ametimiza umri wa miaka 39, ni Baba wa Watoto watano na kila mmoja ana Mama yake, Mtoto wa kwanza ana miaka 15.. wa mwisho 7.

Album zake ni 3, ngoma yake ya kwanza Redioni ilisikika mwaka 1999 ‘Julieta’ produced by Mikka Mwamba...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom