Alichotakiwa kufanya Mwana FA issue ya Rosa Ree kufungiwa kufanya kazi...

Shilandula

Member
Nov 30, 2019
6
6
Jana tumesikia Mwakilishi wa Wasanii BASATA akibariki Kifungo cha Mwanamuzi mwenzake Rosa Ree kwa Miezi Sita cha kutofanya shughuli za Muziki.

Kwangu mimi naona haikuwa sawa kwani yeye kama Mtetezi wa Wasanii BASATA angefanya la maana kama kumuita msanii husika na kukaa naye na kuona nini kilimkumba mpaka akashirikishwa na Mkenya katika Wimbo ule na kuona jinsi sahihi ya kumsaidia kama msanii mwenzake.

Kuna msemo ulitolewa na Rais fulani kuwa “Kumnyima Mtu Kufanya Kazi ni Kumnyima Kula”

By Papa Shilandula

Pia, tembelea Mjumbe wa BASATA, Mwana Fa kudai hawezi kumtetea Rosa Ree kwani nafsi inamsuta. Ni sawa?
 
Kama alishoot video kwa zaidi ya siku 3 mpaka 4 Basi huyo ana akili timamu, na anaweza kujisimamia vyovyote vile katika shughuli yoyote ile.

Mtu anakaa uchi wa mnyama Tena bila haya mbele za wachukua video na mbele ya umati wa wahaririri Kisha hiyo video iwekwe mitandaoni akiwa na dhumuni kuwa Africa Mashariki yote na dunia kwa ujumla waone maungo yake,Leo hii
Anataka huruma gani Sasa?

Kwamba ahurumiwe ili kesho acheze video za ngono kabisa ili mleta huu Uzi ufurahie kuiona mbunye yake Kama ulivyoiona mbunye ya Ambar Rutty?

Tufikie mahala tukanye hizi tabia za kishenzi za Hawa madada wasanii.
Na kukanya kwenyewe ni Kama hivi walivyomfanya.
Na kwa upande wangu hiyo adhabu ni haba, watu Kama Hawa adhabu yao ni mwaka mzima na faini juu.
Shwaini kabisa.
 
Huwezi jua labda walishaongea hao wasanii. Ila bila unafiki wowote Rosa ile adhabu anastahili.
 
Inabidi wakazie tunaharibu jamii.
Nyimbo za matusi kama za wasanii wengi wa kipindi hiki inabidi zifungiwe maana zahamasisha uzinzi
 
Washaurini mabinti zenu kujiepusha na matumizi ya bangi. Alichokifanya huyo Rosa sijui ni msukumo wa bangi
 
Yaani mtoa mada kabisa unapata wapi muda wa kujadili ule upuuzi wa Roza Lee!?

Mwana FA ndiye umeona fala kwenye hii inshu?
 
We mtu wa ajabu kweli
Unataka kusema huyo Rosa ree alifanya video hiyo akiwa usingizi
Acha asulubiwe tu kama anataka akacheze porn

Ova
 
Kama alishoot video kwa zaidi ya siku 3 mpaka 4 Basi huyo ana akili timamu, na anaweza kujisimamia vyovyote vile katika shughuli yoyote ile.

Mtu anakaa uchi wa mnyama Tena bila haya mbele za wachukua video na mbele ya umati wa wahaririri Kisha hiyo video iwekwe mitandaoni akiwa na dhumuni kuwa Africa Mashariki yote na dunia kwa ujumla waone maungo yake,Leo hii
Anataka huruma gani Sasa?

Kwamba ahurumiwe ili kesho acheze video za ngono kabisa ili mleta huu Uzi ufurahie kuiona mbunye yake Kama ulivyoiona mbunye ya Ambar Rutty?

Tufikie mahala tukanye hizi tabia za kishenzi za Hawa madada wasanii.
Na kukanya kwenyewe ni Kama hivi walivyomfanya.
Na kwa upande wangu hiyo adhabu ni haba, watu Kama Hawa adhabu yao ni mwaka mzima na faini juu.
Shwaini kabisa.
Kingine huyo msanii na huyo mkenya huo si wimbo wao wa kwanza,
Angalia wimbo uliopita utaona huyu dada ana heshima, hana maadili ya kitanzania
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom