Nyota wa Klabu ya Yanga, Stephane Aziz Ki amekamilisha utaratibu wa mahari kwa ajili ya kumuoa Hamisa Mobetto, Aziz Ki ametoa jumla ya Ngo'mbe 30 ikiwa kama sehemu tu ya mahitaji mengine ambayo...
Kupitia ukurasa wake wa instagram,Diamond platnumz ameweka wazi kua plaform yake ya kuuza na kununulia kazi za wasanii iitwayo,wasafidotcom ipo tayari kwa matumizi pande zote yaani wasanii...
Ila hawa matapeli wawili wanafurahisha. Bandugu hakuna usalama anaejianika kwamba ni usalama chahali ni tapeli…
Ukiona mtu anajianika kwamba ni usalama elewa kwamba huyo ni kishoka tu, mana...
Mungu aliye hai haitaji ushahidi wa shuhuda zake na maajabu yake, Mungu wetu anatenda mengi juu yetu.
Je, kama ndivyo na ndiye Mungu ambaye pastor Tony Kapola anamwamini sasa kwa nini ana panic...
Mfalme wa Rhymes Afande Sele amemchumbia mpenzi wake Imani Makongoro baada ya kupita muda mrefu tangu kufariki kwa mzazi mwenzie Mama Tunda.
Soma pia: Afande Sele: Utaratibu wa kutoka Kituo cha...
List hii hapa wakuu naomba mnote hii ni according to me najua kila mtu anamtazamo wake.mimi binafsi nimebase kwenye ujumbe na sofa.Haya tuiangalie list👇👇👇
1-Bahati Bukuku(kwa nyimbo zenye ujumbe...
Msanii Diamond Platnumz ametupia mavazi na vito vya thamani kubwa vilivyogharimu jumla ya dola 265,259.95, sawa na Tsh. Milioni 659,171,100 akiwa ameunganishia mitindo ya kifahari kutoka Prada...
Mwanamitindo na influencer mmoja maarufu Chelsea Robinson aliamua kufanyiwa upasuaji wa kuongeza makalio (bum implants).
Lengo lake lilikuwa kupata umbo la kuvutia zaidi ambalo lingeendana na...
Leo Agosti 13 ni kumbukizi ya kuzaliwa kwa Rapa maarufu Fareed Kubanda, anayejulikana kama Fid Q akiwa amefanikiwa kutoa albamu kadhaa ikiwemo Propaganda, Roho, Kitaaolojia, na Mbinguni.
Machi...
Wana JF,
Mjue Mr. Daudi Kanyau mfanyabiashara ambaye alimtajirisha Shigongo na magazeti yake ya udaku.
Awali ya yote, Kanyau alikuwa rafiki sana na mtoto wa Mwinyi (Abass). Basi kwenye biashara...
https://www.instagram.com/reel/DNKynyksZuT/?igsh=MXZ2Ym0zcGh1MDNjdQ==
Kuna wakati nilieleza kuhusu Diamond Platnumz kuandika hitsong ya Pawa ambayo imeimbwa na Mbosso nilioga matusi hapa.
Sasa...
Rayvanny ameshare furaha yake kubwa baada ya wimbo wake wa Tetema kushika namba moja trending dunia nzima, Chui ameshare hayo katika ukurasa wake wa Instagram.
Soma pia: RAYVANNY KASHUKA NA...
Muigizaji na mchekeshaji maarufu Zimwi amekuwa akisumbuliwa na maradhi kwa muda mrefu
Hivi karibuni amefanya mahojiano na waandishi wa habari na kuwaeleza kuwa yeye ni baba wa mtoto mmoja na...
Kwa muda mrefu kumekuwa na hiyo ligi kama card b kimuziki yuko vizuri kuliko Nick Minaj ila binafsi kila nikijaribu kusikiliza ngoma za huyu mwamama card b nashindwa kabisa kuzielewa nabaki...
Huyu mmakonde alisema tarehe 8 mwezi huu anaachia album kama kawaida yake huwa anaachia usiku wa kuamkia ijumaa Sasa mpaka Sasa hivi yupo kimya hata majina ya nyimbo hajapost je amewafanya...
Msanii maarufu wa muziki wa Hip Hop kutoka Tanzania, Nikk Mbishi, amepata pigo kubwa kufuatia kifo cha baba yake mzazi, John Marwa Machuche, kilichotokea tarehe 02 Agosti 2025.
Msiba ulihudhuriwa...
Any way tukiwa tunasubiri Daku ngoja tupitishane humu kwanza,
Kwa kizazi cha sasa kinaweza kuwa hakilifahamu hili jina la Steve Kabuye aka Steve kafire mtu mwenye Sauti yenye mamlaka pale...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.