Daudi Kanyau alimtajirisha Eric Shigongo na magazeti yake ya udaku

mgt software

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
13,767
7,115
kanyau-5.jpg


Wana JF,

Mjue Mr. Daudi Kanyau mfanyabiashara ambaye alimtajirisha Shigongo na magazeti yake ya udaku.

Awali ya yote, Kanyau alikuwa rafiki sana na mtoto wa Mwinyi (Abass). Basi kwenye biashara zao Kanyau akakatwa Pakistan na kudungwa kwa muda fulani.

Baada ya kurudi akakuta amenyang’anywa mke wake aitwaye Saida na alihamishwa kutoka walipokuwa wanapanga Sinza.

Likaanzishwa bifu zito ambalo Kanyau ilibidi amtumie E. Shigongo kumuandika Abass mara kwa mara huku wakipiga picha za tafrani za kila aina na kuzitupia kwenye magazeti ya Kiu na Ijumaa.

Ilifika hatua usipomnunulia mke wako gazeti la Kiu na Ijumaa basi upati mzigo magazeti haya yaliuza sana kutokana na mzozo huo.

Ndipo mzee Mwinyi kwa kutambua urafiki wao, akawaamulia mke Saida akarudi kwa Kanyau na Abass akaenda kusomea urubani Marekani. Nasikia sasa hivi Kanyau kachukua chombo cha mwanamziki wa kizazi kipya Diamond.

Tayari picha za kijana wa Kanyau imetoka akimbusu mamandogo wake Zarina the bosslay mtoto wa M7. Hapo tutegemee kurudi kwa magazeti haya maana Kanyau ana mapene ya kumwaga na mkewe Saida hatakubali lazima alipize.

Hata hivyo Shigongo alifaidi sana ugomvi kwa kuuza magazeti yake na vitabu ukizingatia watoto wa Mwinyi walikuwa hawagusiki na ndio habari ya mjini. Kila mtu sababu alitaka awe karibu nao.

Soma zaidi hapa > Kigogo wa Madawa ya Kulevya akamatwa Dar. Mali zake zashikiliwa...
 
Mfanyabiashara maarufu halafu amepanga sinza duh . Halafu biashara ya magazeti imeshapitwa na wakati siku hizi habari zinapatikana mitandaoni haswa insta wanaopiga hela ni wauza bando makampuni ya simu
 
Mfanyabiashara maarufu halafu amepanga sinza duh . Halafu biashara ya magazeti imeshapitwa na wakati siku hizi habari zinapatikana mitandaoni haswa insta wanaopiga hela ni wauza bando makampuni ya simu
Hukuelewa Daudi Kanyau alikuwa Kaputi kwani alitoka kifungoni mke akakuta ashachukuliwa mtoto wa Rais mstaafu Abas Mwinyi, enzi hizo ndio walikuwa kwenye chati. Shigongo alikuwa mnufaika kwani habari na picha za ugomvi watu walipenda kuziona. Kipindi hicho wenye simu walikuwa laki sita tu. Enzi za tritel na mobitel.
 
Wana jf
Mjue Mr. Daudi Kanyau mfanyabiashara ambaye alimtajirisha Shigongo na magazeti yake ya udaku. Awali ya yote , Kanyau alikuwa rafiki sana na mtoto wa Mwinyi (Abass) . Basi kwenye biashara zao Kanyau akakatwa Pakstan na kudungwa kwa muda fulani. Baada ya kurudi akakuta amenyanganywa mke wake aitwaye Saida na alihamishwa kutoka walipokkuwa wanapanga sinza. Likaanzishwa bifu zito ambalo Kanyau ilibidi amtumie E. Shigongo kumuandika Abass mara kwa mara huku wakipiga picha za taflani za kila aina na kuzitupia kwenye Magazeti ya KKiu na Ijmaa. Ilifika hatua usipomununulia mke wako gazeti la kiu na ijmaa basi upati mzigo magazeti haya yaliuza sana kutokana na mzozo huo. Ndipo mzee Mwinyi kwa kutanbua urafiki wao akawaamulia mke Saida akarudi kwa Kanyau na Abass akaenda kusomea urubani Marekani. Nasikia sasa hivi Kanyau kachukua chombo cha Mwanamziki wa kizazi kipya Diamond. Tayari picha za kijana wa Kanyau imetoka akimbusu mamandogo wake Zarina the bosslay mtoto wa M7 hapo tutegemee kurudi kwa magazeti haya maana Kanyau ana mapene ya kumwaga na mkewe Saida hatakubali lazima alipize. Hata hivyo Shigongo alifaidi sanamaugonvi kwa kuuza magazeti yake na vitabu ukizingatia watoto wa mwinyi walilkuwa hawagusiki na ndio habari ya mjini. Kila mt7 alitaka awe karibu nao.
Baada ya Kukamatwa na Kitengo cha Madawa ya Kulevya, Kigogo Dar Kortini - Global Publishers

Na abbas yuko wapi
 
Hukuelewa Daudi Kanyau alikuwa Kaputi kwani alitoka kifungoni mke akakuta ashachukuliwa mtoto wa Rais mstaafu Abas Mwinyi, enzi hizo ndio walikuwa kwenye chati. Shigongo alikuwa mnufaika kwani habari na picha za ugomvi watu walipenda kuziona. Kipindi hicho wenye simu walikuwa laki sita tu. Enzi za tritel na mobitel.
Kanyau alikua zamani sasa hivi ni paka shume mkwanja umekata
 
Back
Top Bottom