Steve Kabuye (Steve Kafire), unafahamu yuko wapi kwa sasa?

mayowela

JF-Expert Member
Nov 2, 2014
2,124
1,744
Any way tukiwa tunasubiri Daku ngoja tupitishane humu kwanza,

Kwa kizazi cha sasa kinaweza kuwa hakilifahamu hili jina la Steve Kabuye aka Steve kafire mtu mwenye Sauti yenye mamlaka pale anapokuwa nyuma ya Mic huchoki kumsikiliza,

Wengi walimfahamu huyu mtu pale alipokuwa akitangaza The Cruise ya East Africa redio, ulikuwa hubanduki kipindi kilichokuwa na Playlist iliyoshiba, Story kali za Mamtoni, Updates ya video games na Chat matata iliokiwa ikimaloza kipindi pamoja na Jinhle zilizoshiba ujazo wa vocal kali, ulikuwa huikosi The Cruise,

Baada ya Steve Kafire The Cruise ilishikwa na Seba the warior (Seba Mwaikambo), Baadae Sam Misago, then Kennedy the remedy na George Bantu, kisha King Smash na Queen fifi, ila Bado sijaona wakuifikia The Cruise ya Steve Kabuye mshikaji mwenye asili kutoka Uganda,

Any way mi nae stori zinataka kuwa nyingi, Huyu jamaa alisepa na akawa kimya, Unafahamu yuko wapi kwa sasa..?

Huyu mtu anakipaji tofauti na Utanhazaji alijiongeza na teknolojia hasa upande wa Graphix, Ukifatilia TVE kuna sauti yake inasikika kwenye tangazo la kunadi kipindi cha wanafunzi kitu kama Mchakamchaka,

Ila huyu bwana ndie anaetengeneza Motion Graphix za TVE pia yupo kwenye crew inayoandaa show ya HOMA inayoruka TVE, mchezo wote wa Graphix anasimamia yeye

Mfate kwenye ukurasa wake wa IG kuona kazi zake @firemannn.

Tuishie hapo kwa leo, nikutakie mfungo mwema
 
Steve kafire nimeanza kumfahamu akiwa StarTv na kipindi chake cha "SuperTraxx" back ground akiwa anapiga instrumental ya The Corner (COmmon ft Last Poets) hiyo ilikuwa around 2005-2006.....Alikuwa anapiga PIN hiphop za maana sana!!
 
nimejaribu kumzungumzia Steve ambae kipindi yuko EA Radio, Star TV ndio alikuwa anaendesha hiko kipindi cha muda mrefu sana kilikuwa kinaruka saa7 mchana kama sikosei
 
Watoto wa siku hizi watamjulia wapi, nakumbuka kuanza kumsikia Kiss FM alikuwa na ngoma zilizotulia, akahamia EA Radio, ila the Cruise ilibamba zaidi kipindi cha Amo Blaze.
 
Watoto wa siku hizi watamjulia wapi, nakumbuka kuanza kumsikia Kiss FM alikuwa na ngoma zilizotulia, akahamia EA Radio, ila the Cruise ilibamba zaidi kipindi cha Amo Blaze.
those damn days
 
Back
Top Bottom