Namuona sana kijana mmoja mtandaon anaitwa jay Combat.
Anajua kuimba nyimbo za uswazi almaaurufu mnanda au mchiriku au vanga.
Kiukweli toka atutoke duniani Juma Mpogo GOAT wa mnanda bado pengo...
Wakuu!
Msanii Ambwene Yesaya maarufu A.Y amesema wanaomkasirikia kisa kuwa Samia Kings hawana utimamu wa akili, akijibu madai ya baadhi ya mashabiki wanaomtuhumu kwa Uchawa.
The music icon says he believes it’s “addictive” and “leads to other drugs”
Elton John criticized the legalization of marijuana, saying it’s “addictive” and impairs cognitive thinking.
“I...
ASKOFU Josephat Gwajima wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, amesema yeye si tajiri kama inavyodhaniwa, bali alichonacho ikiwa ni pamoja na nyumba, magari na helikopta ni baraka tu za Mungu, lakini kama...
Hatimaye!
Baada ya sarakasi nyingi, Msanii Naseeb Abdul ‘Diamond Platnumz’ amekata shauri la kumuoa mpenzi wake ambaye ni msanii ndani ya lebo yake ya muziki (WCB) Zuhura Othman Soud ‘Zuchu’...
"Mwijaku asiwaongopee watu kuwa amejenga atuonesha hati kama kuna jina lake mke wake ana msitiri tu kuishi kwake alichokisema @officialbabalevo kina ukweli ndiyo maana alikaa kimya" Alisema Haji...
Genius Kadungure aka Ginimbi ni raia wa zimbabwe ambaye alizaliwa tarehe 10 October 1984,Mwaka 2000 alianza kujishughulisha na uuzaji wa mitungi ya gas na kuanza kusupply majumbani,alifanya...
Vanessa alitumia akili ya kuzaliwa kujiondoa kwenye uswahili. Akajiweka sehemu inayoeleweka. Fikiria mpaka leo angekua bado anatembelea IST na kubebeshwa unga ingekuaje?
taarifa nilizopata muda si mrefu mwandishi wa habari aliyejipatia umarufu kwa kufichua rushwa za trafiki naye amekamatwa kwa kuomba rushwa ya milioni 10
====
MAHAKAMA jijini Dar es Salaam...
Chivh ni mji mdogo wenye mkusanyiko wa wakazi laki moja na elf 13. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka 2017. Mji wa Chivh upo umbali wa kilometers 141 kusini mwa jiji la Harare. Njia kuu ya...
Wakuu
Ebu tumjadili huyu kijana ambaye amereform kutoka kuwa shoga mpaka kuwa kondoo wa Bwana.
Huyu jamaa nijuavyo hana kazi yoyote ya kumuingizia kipato.ila nashangaa anajimwambafai eti anataka...
Yule katibu wa mkoa wa Kinondoni na katibu wa kuteuliwa wa kanda maalum ya Dar es salaam CHADEMA, Henry Kileo na mwanadada Joyce Kiria ambaye ni mtangazaji wa EATV, siku ya tarehe 4.09.2011...
Joyce Mbaga (32) maarufu kwa jina la (Nicole Berry) amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni, Dar es Salaam mbele ya Hakimu Ramadhan Rugemalira kwa tuhuma za kupokea...
Gazeti la Sani laandika kwamba Mawaziri wawili, Sophia Simba, na Shamsa Mwanguga wamekutwa gesti ya Mikumi Inn, Magomeni, Jumapili iliyopita.
Wamepiga picha ya magari yao, STK 4472, na T274AOD...
Huyu Dada tangu nifahamu habari zake mara zote nimemsikia akiumwa na akiomba misaada ya matibabu.
Sina Nia mbaya na wala sina shida yoyote na kuomba kwake, Bali nauliza tu kwamba Je huyu Dada ni...
Hakika hiki kimbunga cha Ibrahim Traore hakizuiliki.
Huenda hata kukiita kimbunga ni kutokukitendea haki.
Hili ni tsunami kabisa.
Mwanamuziki nguli wa R&B kutoka jiji la Chicago, jimbo la...
Nilikua najaribu kuperuzi mtandaoni nikaona BET Awards 2025.
Nikasema ngoja nijisomee nione kama nitaona jina la Simba au Tembo au Chui wala yule anaye imbaga Nanyanyaswa.
Nimeambulia kuona...
Ni huzuni sana, tena sana. Yaani unapokuwa na kipaji, unapoanza kuwa juu, kuna watu wanaanza kutafuta njia ya kukuangusha. Msanii wetu alikuwa mkali sana, alikuwa na ngoma kali, na alipata jina...
Nauliza huyu Mwanamama anayeitwa Mange Kimambi ameshindwa kabisa kudhibitiwa kwa Tabia zake za Kutukana, Kudhalilisha, Kuumiza na hata Kuharibu Maisha ya Watu??
Tangu aanze haya Mambo ya Kutukana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.