Napenda muziki. Kuanzia reggae, blues, kwaito, hip hop, zouk hadi rhumba kote huko nimepita ila ladha ninayoipata nisikilizapo muziki wa country sijawahi kuipata kwenye muziki mwingine wowote ule...
Wanajamvi hatimaye msanii Rich Mavoko amepata usajili wake kutoka BASATA huku wakimtambua kama msanii asiyechini ya lebo ya WCB. Awali kulikuwa na mkanganyiko wa kimkataba maana WCB walikuwa...
Kuna msemo usemao experience is the best teacher, msemo huu umekamilika kupitia mama mzazi wa msanii diamond platnums , baada ya kuigiza kama mama ambaye ana maisha magumu kupitiliza,huku akiwa...
HATIMAYE yule Video Queen wa Bongo, Agnes Gerald Waya ‘Masogange' aliyepatikana na hatia ya kuingiza nchini Afrika Kusini malighafi haramu aina ya ephedrine, amemtaja mtu aliyemtuma mzigo...
Aurlus Mabele ni mwanamuziki kutokea congo kinshasa alikua maarufu sana katika band miaka ya 90
Inadaiwa amekimbiwa na mkewe aitwaye Liza ambaye alizaa nae.
Nguli huyu wa muziki wa sokous...
Nimeiskiliza album yote ya Harmonize kusema ukweli kwangu mimi binafsi nyimbo nilizozielewa ni Bedroom (licha ya vionjo vya beat kufanana na Teamo wa Ray), Good, na Mpaka Kesho ila nilichogundua...
Huu wimbo mpya wa Z Anto ambao ni diss kwa stamina ni mkali.
Wimbo unaitwa "Mako stamina "
Mako kinyume ameigeuza kisanii akimaanisha "koma stamina".
Z Anto karudi kwa kiki ya stamina I hope...
Msanii wa bongo movie na mwanadada mrembo amefunguka wakati akifanyiwa interview na gazeti la Mwananchi yeye ndio mtu atakayemtuliza Diamond cos asimilia kubwa ya wanawake hasa Hawa maarufu...
Shoga kidawa nae siku hizi Naona anarudi kwa kasi ya Corona, mbona anakua mzuri hivi, halafu ana mvuto wa ajabu, yan karudi kwenye level zake zile za miaka ya 2006/17. Sijui shoga angu kapata...
Naongelea hasa zile basics za corona ikiwemo matumizi ya vifaa kinga kama mask, gloves na sanitizer.
Wakati mashirika makubwa ya Afya duniani na vyombo vingine vya habari wakihamasisha hatua...
Jana nimemsikia presenta mmoja wa radio maarufu akidai kwamba "wasanii wa Nigeria wanaendelea sababu wana UMOJA, hawana ma-bifu". Hata wasanii wanaoheshimika bongo wamekua wakitoa hii hoja.
Je...
Pamoja na ugeni wa Corona nchini Tanzania, lakini hatutaweza kuacha kuwakumbuka na kuwatakia heri ya maisha yao Mashujaa wachache wa Taifa hili, Akiwemo Mh Halima Mdee, ambaye uwepo wake nchini...
By Sangu Joseph
WAGENI MASHUGHURI
Moja ya vitu vingine ambavyo niliviinjoy sana ni pale kuona viongozi wa kisiasa, wakijumuika na wasanii, wafanyabiashara kuhakikisha Albamu ya #AfroEast ya...
Kuna msemo unasemaga “mafanikio mengine katika maisha huwezi kuyafikia mpaka ujihusishe na nguvu za giza.”
Kwa mafanikio na mvuto aliokua nao Diamond Platnums, bila shaka kuna uwepo wa nguvu...
HARMONIZE NA JIDE, BALAA NA NUSU
Nilisikiliza kwa mara ya kwanza, nikasikiliza tena halafu nikasikiliza tena na bado naendelea kusikiliza. Napata burudani kusikiliza mashairi bora kabisa kutoka...
Eric Shigongo, mfanyabiashara maarufu na mmiliki wa kampuni ya Global Publishers amelalamika kitendo cha Diamond kuwatoza mapromota wa nyumbani kiwango kile kile anachowatandika wale wa nje...
Wakuu nawasalimia,
Ni ukweli usiopingika kwamba familia ya mwanamziki mahiri Ally Zoro ikiwa ni baba na watoto ilijizolea umaarufu mkubwa ndani na nje ya nchi.
Hata hivyo,familia hiyo ikiongozwa...