Picha: Wema Sepetu New looks

warumi

R I P
May 6, 2013
16,273
18,380
Shoga kidawa nae siku hizi Naona anarudi kwa kasi ya Corona, mbona anakua mzuri hivi, halafu ana mvuto wa ajabu, yan karudi kwenye level zake zile za miaka ya 2006/17. Sijui shoga angu kapata danga jipya au ndo mambo ya Tanga( ila mi nae mshirikina) .

Tunajua kuna mambo ya I phone 11 na editing , but tuseme tu ukweli, wema anarudi kwenye level zake, ingekua simu zinabadilisha watu hivyo shoga angu ebitoke nae angekua kama Beyoncé

Kwa huu muonekano domo asipokumbushia enzi Sijui , kusema kweli wema kabadilika kawa mzuri , tena wembamba now umemfit
zaidi
IMG_0238.JPG
IMG_0239.JPG

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
zaidiView attachment 1388216View attachment 1388217

Sent from my iPhone using JamiiForums
IMG-20200312-WA0025.jpg
IMG-20200312-WA0026.jpg
 
Kawema jamani, kamekua kaduchu duchu, kweli wembamba umemfit sana, anapendeza asijali maneno ya watu, aendelee kuutunza mwili wake.
 
Shoga kidawa nae siku hizi Naona anarudi kwa kasi ya Corona, mbona anakua mzuri hivi, halafu ana mvuto wa ajabu, yan karudi kwenye level zake zile za miaka ya 2006/17. Sijui shoga angu kapata danga jipya au ndo mambo ya Tanga( ila mi nae mshirikina) .

Tunajua kuna mambo ya I phone 11 na editing , but tuseme tu ukweli, wema anarudi kwenye level zake, ingekua simu zinabadilisha watu hivyo shoga angu ebitoke nae angekua kama Beyoncé

Kwa huu muonekano domo asipokumbushia enzi Sijui , kusema kweli wema kabadilika kawa mzuri , tena wembamba now umemfit
zaidiView attachment 1388216View attachment 1388217

Sent from my iPhone using JamiiForums
jaman kweli? Nani atapona? Anajitahidi ila anajuwa ukweli saa ina soma mida ya hatari. Vijana kuna somo hapa
 
Mtu ana post picha ya photoshop, kisha anasifiwa yeye ni mzuri! sasa hapo mzuri yeye au picha ?!!!. Haya masifa sifa haya kuja kutahamaki muda na miaka imekwenda na bank huna kitu.Kabila la watu weusi tunashida sana.

Ajabu wengine nao wanatafuta kushindana na picha za kuchuja!!!Matokeo yake unaweka kucha za bandia ndefu nchi moja, nywere za bruu, uso wa rangi ya fanta passion, kiwiliwili rangi ya peps!. Pua na masikio yaliishatobolewa zamani, siku hizi hata uchi una wekwa pini, bangili.! Manina wallahi corona uje kuchukua wapuuzi hawa!!
 
Back
Top Bottom