Wimbo mpya wa Z Anto diss kwa Stamina mkali

Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
25,426
18,228
Huu wimbo mpya wa Z Anto ambao ni diss kwa stamina ni mkali.

Wimbo unaitwa "Mako stamina "

Mako kinyume ameigeuza kisanii akimaanisha "koma stamina".

Z Anto karudi kwa kiki ya stamina I hope atasikika tena hewani,jamaa ana sauti balaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kawimbo kazuri. Huwa napenda mwanamuziki aimbe kwa sautu yake halisi bila kubana pua, anaweza imba Hiphop vizuri ajaribu.
 
Anatoa wimbo baada ya wenzie kuachana ... kweli huyu ma.tako kabisa
 
Back
Top Bottom