Aurlus Mabele akimbiwa na mkewe

Basi Nenda

JF-Expert Member
Jul 29, 2017
20,166
45,881
Aurlus Mabele ni mwanamuziki kutokea congo kinshasa alikua maarufu sana katika band miaka ya 90
Inadaiwa amekimbiwa na mkewe aitwaye Liza ambaye alizaa nae.

Nguli huyu wa muziki wa sokous anasumbuliwa na maradhi toka mapema mwezi huu taarifa zilivoanza kusambaa mitandaoni
Katika maojiano aliyayafanya huku akiwa na hali mbaya alidai mkewe alimkimbia mara tu baada ya kumpeleka hospitali
Pia kama ilivokawaida ya wasanii wetu wa Africa gwiji hiyu inasemekana hakua na pesa za matibabu mpaka pale serikali ya kabila ilipoamua kumlipia bill za hospitali

"Because of my serious health problem, "The mother of my child left me as soon as she took me one night in the hospital"
He said with an indescribable something mischievous in his voice while in his hospital bed.

43221087_2788590264500318_4013517036826132480_n.jpg
 
Mwenye Upendo wa kweli ni Mungu tu,labda na wazazi wangu na hao ndo wanaonitakia mema walionizaa sasa hadi mtu wa karibu kama mke anakukimbia duuh bora nizidi kumwamini Mungu wanadamu ni hatari sana hawaeleweke mda,wowote anakiamsha tu

Afu upo vizuri Kaka usiku wote huu ushaandika uzi
 
Hii habari ni ya muda kidogo, japo humu imeingia leo na sasa Mabele alishaanza kufanya mazoezi show ya mwisho aliifanya 2009 huko Paris tena akiwa bado anaumwa.

Niliifuatilia hii habari miaka kadhaa iliyopita, ni hivi huyu jamaa alipoanzisha group la Loketo walikuwa share na Diblo Dibala kama wamiliki!!

Ulipofika muda wa mgao wa faida Diblo
inasemekana akamdhulumu Mabele akachikichia mapato yote na kumuacha mchizi Mabele na visenti tuu hali iliyopelekea kupata stress na mwisho wa siku stroke!!

Sasa mtu kesha broke na stroke juu, mke kajionea mauza uza akasepa! Jamaa kajiuguza kwa shida sana mpaka kupata msaada wa serikali yake.

Ila mpaka dakika za mwisho kulikuwa na amsha amsha ya wasanii nguli wa dance lile la miaka 90 wafanye show wampe msaada, na yeye pia alikuwa ana courage atapona aimbe apate pesa tena. Sikufuatilia baada yaa hapo

Miongoni mwa habari ilowahi kuniumiza aiseee namkubali sana Mabele toka enzi za albam yao ya Extra Ball, ila favourite song yangu ni Choc a Distance!! Mpaka muda huu nikiingia mahali lazima niudunde kidogo.

Kweli maisha hayana formula na kama!! Mabele leo wakutegemea watu wamsaidie, siamini mtu hataaa
 
Inategemeana ulimpata katika mazingira gani mpaka huyo mke akukimbie, Kama ulimpata ukiwa na hela na sasa umefwafwanzika kukimbiwa na huyo mke sio jambo la kushangaza.

Kuna jamaa alizamiaga kwa bimdogo akasahau family baada ya kufirisika na kuugua akarudi kwa kupiga goti kwa mke wake wa kwanza naye akampokea name kumuuguza mpaka kupona.
Bado kuna wanawake wanaupendo Sana.
 
Inategemeana ulimpata katika mazingira gani mpaka huyo mke akukimbie, Kama ulimpata ukiwa na hela na sasa umefwafwanzika kukimbiwa na huyo mke sio jambo la kushangaza.

Kuna jamaa alizamiaga kwa bimdogo akasahau family baada ya kufirisika na kuugua akarudi kwa kupiga goti kwa mke wake wa kwanza naye akampokea name kumuuguza mpaka kupona.
Bado kuna wanawake wanaupendo Sana.
Hao mbona wengi hata huyo mama huwezi kujua Siri ya ndani, maana wengine sio lazima wahame hivyo vituko humo ndani shida, siku akitulia jiulize sana au subiri lipo linakuja, na mwisho wa siku lawama kwa ke
 
wanawake si watu wakuwaamini kabisa ndio mana wengine wanategesha mimba,wengine wanaroga ili tu wapate kula pesa zikiisha utaomba ufe
 
wanawake si watu wakuwaamini kabisa ndio mana wengine wanategesha mimba,wengine wanaroga ili tu wapate kula pesa zikiisha utaomba ufe
 
Back
Top Bottom