Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Stay tuned. The whole story will come to you soon after " Aston Villa Vs Leicester City". Amkeni! Amkeni! Amkeni! Tumtazame Mbwana Samatta akifanya vitu vyake ndani ya Premier League. Halla...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
[emoji1487][emoji119][emoji1487]Nyota wa muziki wa Rap, Missy Elliot ametunukiwa shahada ya uzamifu katika musiki na chuo kikuu cha Berklee College of Music Marekani. [emoji146][emoji146]“Missy”...
2 Reactions
13 Replies
3K Views
Miss World ashangazwa na uzuri wa Arusha, amuomba rais kibali maalumu cha kujenga nyumba Tanzania Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo akimpa zawadi ya maua Miss World, Vannesa Ponce mara baada...
5 Reactions
36 Replies
8K Views
Kama ulikuwa humjui msiba ni nani utamjua sasa Kama ulikuwa humfahamu tafadhali mfahamu sasa Kama ulikuwa unambeza na kumdharau badili mtazamo wako huo sasa... Kwakuwa moja lililo dhahiri ni...
37 Reactions
69 Replies
9K Views
Enzi hizo miaka ya 2000 muziki ulifanyika kwa kiwango kikubwa sana na majina ya wasanii yakapaa, hata shoo walizokuwa wakienda kufanya mikoani zilivutia na kujaza watu japo PA ilikuwa inafanyika...
1 Reactions
51 Replies
11K Views
Mtoto mwenye umri wa miaka nane, Ryan Kaji ambaye ni mzaliwa wa Marekani ametajwa na jarida la Forbes kuwa ndiye aliyeingiza pesa nyingi zaidi katika mtandao wa YouTube kwa mwaka 2019. Ryan...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
“How time fly’s, My baby girl has become a woman,” ameandika P-Funk Majani aka ‘Dream Big’ kwenye picha ya mwanae mkubwa wa kike (jina lake halijapatikana mara moja) aliyoiweka kwenye mtandao wa...
0 Reactions
54 Replies
40K Views
(CNN)Rapper and singer Juice WRLD has died in Chicago, the Cook County Medical Examiner's Office said Sunday. Juice, who was born Jarad Anthony Higgins, turned 21 on December 2. The rapper...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Kwa miezi 12 iliyopita, mastaa 100 wanaolipwa fedha nyingi zaidi dunia waliingiza jumla ya Tsh trilioni 11 ikiwa ni fedha nyingi kuliko pato la taifa la nchi tatu za Belize, Liberia na Gambia...
2 Reactions
15 Replies
4K Views
ni huyu Machugu wa star tv na huyu kapiga wa clouds tv! nakerekwa mno na tabia zao zifuatazo ambazo ambazo mi huwa naona hazina maana; 1. kujichekesha chekesha. muda wote wa habari wamekuwa ni wa...
8 Reactions
41 Replies
7K Views
Mwanamziki wa kimataifa Rayvanny Boy mwenye sauti tamu Kama vanilla au ukipenda unaweza kumwita chui kutoka kwenye moja ya label kubwa Africa WCB, hivi karibuni ameandaa project inayoitwa Flowers...
1 Reactions
12 Replies
4K Views
Hili jambo ninajua wengi hamlifahamu lakini ukweli ni kwamba Diamond hategemei muziki ili kukuza utajiri wake, asilimia kubwa ya utajiri wake unatokana na kilimo. Diamond ana mashamba makubwa...
7 Reactions
93 Replies
21K Views
PADRI wa Kanisa Katoliki, Dk Bernard Msike ambaye aliwafungisha ndoa staa wa Hip Hop, Bonaventure Kabogo ‘Stamina’ na mkewe Veronica Peter katika Kanisa la Mt. Maria Consolata mkoani Morogoro...
0 Reactions
33 Replies
8K Views
Afande Sele amesema hamjui msanii anayitwa wakazi kwa sura wala hajawahi kusikia nyimbo yake, ni baada ya wakazi kumkosoa kuhusu kauli aliyoitoa juu ya Vanessa Mdee, amesema amewahi kuwa group...
4 Reactions
49 Replies
9K Views
Mwanamziki Dudu baya a.k.a Konki Konki Konki Master ashangazwa na kitendo cha media nyingi kurusha vitu vya hovyo hewani pamoja na kuwahoji watu kama James Delicious, Amber Rutty ambao wanasifika...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Amani iwe nanyi wakuu. Hivi ndio kwa mfano huyu mwamba anayekwenda kwa jina la Max angekuwa msanii angechana au angebana pua? Muziki wa mduara angeuweza kweli huyu mwana maana ana sura ya upole...
8 Reactions
50 Replies
6K Views
Kiukweli bandugu. Hawa wasanii wawili kwa hapa bongo sijaona mtu anayewazidi kwa kuimba live. Maana wengi wanaimba na CD yaani playlist imepangwa kwenye CD halafu anashuka tu.! Lakini show...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Salam, Kwanza nikiri kuwa pamoja na kwamba Sikuwa mfuasi wa msanii huyu wa singeli, na wala sikuamini Kama aina yake ya mziki ingetoboa na angetoka.... Lakini kwa Mwaka mmoja wa kwanza tangu Juma...
8 Reactions
61 Replies
11K Views
Nimepata bahati ya kumsikiliza ndugu Antonio Nugaz katika mahojiano na kituo fulani na kujisifia kuwa ndio mtangazaji anayelipwa zaidi pale Clouds Media Group. Lakini hii inaleta tafsiri kuwa...
5 Reactions
51 Replies
13K Views
James Bond Jason Bourne Jack Bauer
2 Reactions
37 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…