Haka kadada nilikua nakachukia, kalikua kana mapepe mno na nyodo flan hivi , ila toka wanazengo wampe makavu Naona siku hizi akili zimemrudia, kako focused hakana mapepe kama zamani, ameanza kukaa...
Kazi nyingine toka kwa hamo, Je unaipa alama ngapi kati ya 10?
Hainistui Lyrics – Harmonize
Intro chorus
Yaaweya, Jeshi
Konde Boy
Hainistui, Hainistui, Hainistui
Apa nilipo kesho yangu siijui...
Demi Rose prides herself on her voluptuous curves which she regularly shows off in sexy photoshoots.
But one part of her body has changed more than any other - her bountiful bum. Not its confirm...
I smell a fish
To me the death of Kobe Bryant sound like it was premeditated.
Ndege haiwezi kulipuka yenyewe bila sababu hasa ikizingatiwa kuwa kabla ya kuruka ili fanyiwa thoroughly check up...
Wiki hii baadhi ya watu maarufu kutoka Ghana wametrend Sana kutokana na kauli zao ukiachana na kauli ya mchungaji Nigel Gaisie aliyedai atamfufua Kobe Bryant kama atapata 10% ya Mali zake...
Akijibu juu ya kupendwa sana na kusababisha taflan mitandaoni, a 31 years old Diva Gissele Malinzi au Al maarufu Kama Diva' Mtangazaji wa #Alazaroho ya Cloudsfm , anasema yeye huwa hajali wala...
Oooh! Mamu! 0oh mamuu! We ndo furaha yangu, ooh Mamu! Nimekosa baby wangu... oh Mamu! Unisamehe mke wangu!
Dah! Utakapoisikiliza ngoma hii kwa mara ya kwanza, na kuhakikishia you won't get enough...
Harmonize anapambana ili aweze kuachana kabisa na WCB. Alitakiwa kulipa shs milioni 500 ili aweze kuwa msanii huria na kufanya kazi zake kama yeye mwenyewe. Jambo ambalo linamaanisha kwamba kama...
Wana nguzo tano wanapambania game linalowakataa ,wengi wao target ni kupata angalau kupata views 1M+ views ,kijitangazia u king usio hata na empire ,wengne wanadiriki hata kurukia miziki isiyo na...
Wakuu,
Kama ni mtu wa burudani utakuwa unamjua DJ PQ, kijana mbunifu na mwanzilishi wa chuo cha kwanza cha kujifunza udj Tanzania.
Binafsi nimemfahamu kitambo lakini kabla hajawa maarufu...
Hashim & Nash,wana Hip Hop wakubwa kabisa kutokea bongo,mwendawazimu na chizi wamekutana, sadly hashim hafanyi mziki siku hizi amekuwa sheikh swala tano
Sent using Jamii Forums mobile app
Silengi kuchochea udini wa aina yeyote ile ila najiuliza imetokea bahati mbaya tu au kuna namna nyingine kwa wale wanaoliwakilisha taifa vizuri zaidi kwenye burudani na michezo kuwa Waislam au...
Renowned British model Naomi Campbell has reacted to the 2020 Grammy Awards that saw Beninese singer-songwriter Angelique Kidjo bests Nigeria’s Burna Boy and others to winning the Best African...
Mcheza Kikapu mstaafu nchini Marekani, Kobe Bryant 'Mamba' amefariki katika ajali ya Helikopta iliyotokea leo huko California.
Kobe mwenye miaka 41 akiwa na binti yake Gianna walikuwa miongoni...
Heshima kwenu wakuu!
Kwa mwenye kuelewa, naomba anisaidie kuwataja wahenga wa Bongo kutoka tasnia mbalimbali, kuanzia siasa, muziki na kadhalika, waliooa wake wazungu.
Kwa kuanzia, nimepata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.