Mtoto mwenye umri wa miaka nane, Ryan Kaji ambaye ni mzaliwa wa Marekani ametajwa na jarida la Forbes kuwa ndiye aliyeingiza pesa nyingi zaidi katika

BilioneaPATIGOO

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2012
Messages
11,813
Points
2,000

BilioneaPATIGOO

JF-Expert Member
Joined Jun 23, 2012
11,813 2,000
Mtoto mwenye umri wa miaka nane, Ryan Kaji ambaye ni mzaliwa wa Marekani ametajwa na jarida la Forbes kuwa ndiye aliyeingiza pesa nyingi zaidi katika mtandao wa YouTube kwa mwaka 2019.

Ryan ambaye anajishughlisha na kuandaa video za katuni mtandaoni, ametajwa kuwa ameingiza kiasi cha dola 26 milioni ambazo ni sawa na Shilingi bilioni 59 katika kipindi cha mwaka 2019 pekee, ikiwa ni kiasi kikubwa cha pesa kuwahi kupatikana kwa mtu mmoja barani Ulaya.

Katika mtandao wa YouTube, Ryan anamiliki chaneli ijulikanayo kama ‘Ryan World’, ambayo ina wafuatiliaji takribani milioni 22.9 na kadri chaneli hiyo inayoendelea kukua ndivyo anavyojiingizia kipato kikubwa.

Ryan alianza kazi hiyo akiwa na umri wa miaka mitano na sasa anatengeneza video mbalimbali za kuelimisha. Ametajwa katika tuzo maalum kwa watoto ambao wanakua kwa kasi katika mtandao, maarufu kama ‘Kids’ Choice Awards for Favorite Social Star’.Sent using Jamii Forums mobile app
 

mng'ato

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2014
Messages
21,788
Points
2,000

mng'ato

JF-Expert Member
Joined Oct 27, 2014
21,788 2,000

October man

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2017
Messages
2,806
Points
2,000

October man

JF-Expert Member
Joined Nov 23, 2017
2,806 2,000
Wkt hapa JF kuna jamaa mtu mzima kabisa mwenye degree alileta mada kwamba mtaani kwao wanasema huwezi ukapata/kumiliki Tsh.30mil bila kwenda kwa mganga wa kienyeji.Sent using Jamii Forums mobile app
Umeandika “mtu mzima kabisa mwenye degree” as if mimi nimeleta mada kusapoti hicho kitu.

Jamaa una akili ndogo sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

mng'ato

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2014
Messages
21,788
Points
2,000

mng'ato

JF-Expert Member
Joined Oct 27, 2014
21,788 2,000
Umeandika “mtu mzima kabisa mwenye degree” as if mimi nimeleta mada kusapoti hicho kitu.

Jamaa una akili ndogo sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Niuzie na hilo begi basi kwa buku 3 ili niweze kwenda kuendelea na masomo ya darasa la 4 maana hao ndio wenye akili ndogo kama zangu dada.
Screenshot_2020-01-29-16-02-20-1.jpeg


dodge
 

Forum statistics

Threads 1,392,528
Members 528,635
Posts 34,110,967
Top