Unajuwa kuwa P-Funk Majani ana mtoto mkubwa kabisa wa kike tofauti na aliyezaa na Kajala?

Money Stunna

JF-Expert Member
Aug 9, 2011
13,054
6,281
“How time fly’s, My baby girl has become a woman,” ameandika P-Funk Majani aka ‘Dream Big’ kwenye picha ya mwanae mkubwa wa kike (jina lake halijapatikana mara moja) aliyoiweka kwenye mtandao wa Instagram. Mhh! Nani alitegemea kama producer huyo wa Bongo Records angekuwa na mtoto mkubwa hivi?

Mtoto wa kike wa P-Funk Majani
P-Funk ana mtoto mwingine mkubwa wa kike aliyezaa na Kajala aitwaye, Paulette.
Paulette akiwa na mama yake Kajala
Usishangae P kusikia amekuwa babu soon!!
 
Daaah mtoto wa kajala kawa mkubwa kabla ya umri wake , nikiwa na maana kabemendwa kimawazo kila siku skendo za mama duuuu!!!!
 
Kama Sikosei Bwana Majani Ana Watoto Watano....Na Wote Majina Yao Yanaanza Na P...
 
hivi kumbe kajala ana mtoto, tena mkubwa hivi mmhhh...

hivi hawa watoto wanajisikiaje wakiwa wanasoma tabia chafu za mama zao kwenye magazeti pendwa? coz sidhani kama class mates wao wanaweza ku hesitate making fun of them.
 
Back
Top Bottom