Miss Elliot atunukiwa PhD

EINSTEIN112

JF-Expert Member
Oct 26, 2018
21,713
35,512
Nyota wa muziki wa Rap, Missy Elliot ametunukiwa shahada ya uzamifu katika musiki na chuo kikuu cha Berklee College of Music Marekani.
“Missy” ambaye jina lake kamili ni Melissa Arnette Elliott, alitamba katika tasnia ya mziki huo wa kufoka kwa takriban miaka 30 sasa na amewahi kushinda tuzo za Grammy 5.
Je wimbo upi wa Dr. Missy Elliot unaoukumbuka?
FB_IMG_1557806913350.jpeg
FB_IMG_1557806905619.jpeg
 
work it ni balaa nfanya old school show, kwa moja ya radio hapa tz hilo ngoma uwa ni lazima nilipige any way she deserve it.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom