Hawa ndiyo wahenga Bongo waliooa wazungu

Hashpower7113

JF-Expert Member
Sep 26, 2011
1,353
2,137
Heshima kwenu wakuu!

Kwa mwenye kuelewa, naomba anisaidie kuwataja wahenga wa Bongo kutoka tasnia mbalimbali, kuanzia siasa, muziki na kadhalika, waliooa wake wazungu.

Kwa kuanzia, nimepata orodha fupi, ya mzee Kingunge, naambiwa mkewe ni Mrusi, lakini pia Profesa Sarungi naye mkewe ni Mrusi, Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Binilith Mahenge naye alivuta jiko kutoka mbele sambamba na marehemu Dokta Remmy ambaye naye ameacha mjane Mzungu.

Nitashukuru kama nitapata ushirikiano chanya!

Prof-Philemon-Sarungi-Akiwa-Na-Mkewe-walikuwepo.jpg

Profesa Sarungi akiwa na ubavu wake.

SAM_9890.JPG

Mzee Kingunge akiwa na wa ubani wake.
 
Mzungu aki cross na mwafrika watoto wanapatikana wazuri sana, shida ni mwafrika across na ....[malizia]
Kweli mkuu.
Kuna demu nilikuwa naye siku zilizopita, yaani alikuwa akiliongelea sana.

Alikuwa akiongea product ya mzungu na mwafrica(watoto) wanakuwa wazuri mno.

Mungu amsaidie sana japo hatukufanikiwa lengo letu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom