Tetesi: Wasanii wa miondoko ya hip hop kupitea kwenye game

Dim Ray

JF-Expert Member
Dec 15, 2019
318
247
Wana nguzo tano wanapambania game linalowakataa ,wengi wao target ni kupata angalau kupata views 1M+ views ,kijitangazia u king usio hata na empire ,wengne wanadiriki hata kurukia miziki isiyo na formula na kuita hip hop 🤣🤣🤣🤣🤣🤣, unakaza wakati unalala njaa na mkijiwasha nawalist
 
E bhana kule youtube Nimekutana na video za kadadaa flani anaitwa Frida Amani. Yuko super sana, ndio nimegundua leo
 
Wana nguzo tano wanapambania game linalowakataa ,wengi wao target ni kupata angalau kupata views 1M+ views ,kijitangazia u king usio hata na empire ,wengne wanadiriki hata kurukia miziki isiyo na formula na kuita hip hop 🤣🤣🤣🤣🤣🤣, unakaza wakati unalala njaa na mkijiwasha nawalist
Mstari wa Nani huo?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom