Hivi karibuni, kuna rafiki yangu mmoja alipewa invitation sehemu. Akanicheck nimpe kampani. Tukaenda wote.
Ilikuwa ni house party ya familia fulani ya kiarabu. Naweza kusema ni wale waarabu...
Huyu msaanii ni miongoni mwa watu wa mwanzoni kabisa kutangaza kupata virusi vya Corona.
Mpa sasa hakuna habari zozote za kuhusu kupona kwake ama kuwepo karantini.
Mwenye taarifa atujuze.
Hisia zangu zinaniambia Harmonize bado yuko mikononi mwa Diamond ila Umma tunaaminishwa katoka ni game well played ila kuwin kibiashara.
Hebu tuone hili, hapo awali Harmonize alipokuwa anatoka...
Ninavyoamini mimi, wachungaji ni watu maalum katika jamii ambao wamejaliwa kuwa viongozi wetu wa kiimani....nimesoma kwa mshtuko from some newspapers that mchungaji mama Getrude Rwakatare (MB)...
Huyu jamaa kapotelea wapi, hasikiki redioni wala kwenye TV, alisikika kwenye Power Jam, The Cruise, Friday Night live na Enewz, kwa kipindi kirefu sasa hasikiki reddioni wala kuonekana kwenye TV
Gigy money ameonekana mara nyingi akimponda Alikiba nakudhihirisha zahiri kuwa yeye ni fan number one wa Diamond Platinumz, ila inasemekana kuwa Alikiba pamoja na mdogo wake aitwaye Abdukiba...
PHILLIP Schofield has reportedly moved out of his family home and into a London flat after coming out as gay.
The This Morning star, 58, shared a large £2million pad in Oxfordshire with wife of...
FAITH Evans alikuwa mke wa Rapa Notorious BIG ambaye alitambulika kuwa hasimu wa Tupac Shakur. Hamisa Mobetto alikuwa mpenzi na aliishi kinyumba na Diamond Platnumz ambaye inafahamika ni hasimu wa...
Celebrities kote nchini mmepiga kimya kama hakuna kinachoendelea.
Tafadhali saidieni jamii ambayo ni sehemu ya mashabiki wenu.
Mmeshindwa hata kutoa Sanitizers, sabuni au ndoo za maji?
habali wanajukwaa, twende katika mada,
Katika nyimbo ya Dhahabu ya dully Sykes ambayo aliwashilikisha wakali wawili @joselini na @mrblue ,ambao kipindi iko kulikuwa na tarifa walikuwa awahivi...
Watu wa saikolojia msaidieni huyu dada hayupo sawa kichwani,inasemekana ule urafiki wa wawili hawa msanii Ali kiba na mtangazaji wa clouds Diva haupo tena,diva inasemekana ndio chanzo cha wasanii...
MWANAMUZIKI anayefanya vizuri akiwa chini ya Lebo ya ‘WCB’, ‘Queen Darleen’ amefunguka kuwa anaumizwa sana na hali ya kuishi bila mpenzi jambo ambalo limekuwa likimuumiza sana katika maisha yake...
Mtoto Mrembo, mwenye sauti nzuri, kipaji cha utangazaji na fighter wa maisha usiyeishwa na skendo. Nimehuzunishwa sana kujua umepitia maisha ya unyanyasaji, kukataliwa na kudharauliwa! Pole sana...
Baraza la Sanaa Tanzania lamfutia usajili msanii Godfrey Tumaini maarufu Kama "Dudu baya" kwa kosa la kutumia mtandao wake wa Instagram kuwatukana wadau wa mziki.
Hivi karibuni msanii huyo...
Mtangazaji wa Clouds Fm Loveness Malinzi maarufu kama Diva the bawse amefunguka kuwa hawezi akaolewa na mwanaume yoyote bila kutokew mahari ya shilingi milioni 500.
Hii sio mara ya kwanza kwa...
Kama ilivyo heading wana Jf wenzangu
Tuweke umri Elekezi wa mastaa wa bongo kama unavyowafahamu.
Tunaweza kuwakadiria kuanzia kwenye kazi zao zile za kitambo mpka sasa .
Lengo la Uzi huu ni...
Tumeshasikia kitu wanaita ujasiliamali wa maudhui (content enterpreneurs), hii ikoje?
Hii ni biashara kama biashara zingine na wengi wanafanya na wanapiga mpunga wakutosha. Kuna baadhi ya wadau...
Mimi ni mshabiki halisi wa CEO na mwanamuziki Diamond platinumz, nimejitahidi sana kumantain principle hiyo niliyoieleza hapo juu kwa msanii huyu ila nimeshindwa maana anapendwa na watu wengi sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.